Masha akamatwa na polisi kwa kufanya kampeni kambi ya wakimbizi
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
10 years ago
MichuziMkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba atembelea kambi ya wakimbizi
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
MichuziWAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU WAMPOKEA KWA SHANGWE WAZIRI CHIKAWE WILAYANI KASULU
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU
9 years ago
VijimamboTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - IDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU
9 years ago
StarTV10 Sep
Polisi Mwanza yahimiza wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limetoa angalizo kwa wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu na kujiepusha na vitendo vitakavyoashiria uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kuwatia hofu wananchi.
Hali hiyo inaweza kusababisha wananchi kushindwa kutimiza haki yao ya msingi ya kupiga kura.
Onyo hilo limetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi Charles Mkumbo katika kampeni ya jeshi la Polisi yenye lengo la kuhamasisha amani mkoani Mwanza.
Pia Kamanda Mkumbo...
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Polisi akamatwa kwa wizi wa Cocaine