Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )

Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki anaswa MOI

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari feki akamatwa Tanzania

Uongozi wa taasisi ya MOI katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam umemkamata mtu anayetuhumiwa kuwa daktari bandia Jumatatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki akamatwa Moro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...

 

5 years ago

CCM Blog

KAMPUNI YA JAPAN YASAIDIA TAASISI YA MIFUPA (MOI) MSAADA WA VIFAA TIBA VYA MILIONI 80.9

Kampuni ya EAA Co. Ltd ya nchini Japan bandia imetoa msaada wa viungo bandia vyenye thamani ya Shilingi milioni 80.9 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) leo Jijini Dar es Salaam.
Akipokea msaada huo, Mkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai amesema kuwa msaada huo utasaidia kwa kiasi kikubwa matibabu ya wagonjwa wenye ulemavu wa miguu na mikono. 
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni ya EAA Co. Ltd, Josiah Benedict amesema wameguswa na changamoto zinazowakabili watanzania ndiyo maana wameamua...

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro

>Kijana Karume Kauzu Habibu (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujifanya Daktari wa Hospitali Kuu mkoani hapa.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA JAPAN YASAIDIA TAASISI YA MIFUPA (MOI) MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA MILIONI 80.9



Mkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai (kulia) akipokea baadhi ya vifaa kutoka kwa Meneja wa Kampuni ya EAA Josiah Benedict leo katika viwanja vya (MOI) jijini Dar es SalaamMkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kampuni ya EAA Josiah Benedict pamoja na baadhi ya wafanyakazi wengine waliohudhuria...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE NA HUDUMA ZA JAMII YATEMBELEA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA , UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU (MOI)

Picha ya pamoja Waziri wa Afya Seif Rashid (wa sita kulia) na wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Huduma ya Bunge ,Kuduma ya Jamii Gregory Teu (wa nne kulia) na  Kaimu  Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)  Dk,  Othman  Kiloloma (wa tatu kushoto) na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo ya  wabunge.Waziri wa Afya Seif Rashid (kusho) akitia Saini katika Kitabu cha wageni mara kamati ya Kudumu ya Bunge , Huduma za Jamii ilipo tembelea ...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari feki anaswa Hospitali ya Muhimbili

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni daktari feki amekamatwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi akiwa na vifaa mbalimbali vya kitabibu, ikiwamo majina ya dawa zinazotumika wakati na baada ya kutoa mimba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani