Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daktari feki anaswa MOI

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )

Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari feki anaswa Hospitali ya Muhimbili

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni daktari feki amekamatwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi akiwa na vifaa mbalimbali vya kitabibu, ikiwamo majina ya dawa zinazotumika wakati na baada ya kutoa mimba.

 

11 years ago

GPL

DAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO

Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi. Daktari feki akielekea kwenye gari.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari wa ‘kichina’ anaswa Babati

WATU saba wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Manyara, akiwemo daktari bandia na wengine katika mtandao wa wizi wa magari uliyotokea jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Kamanda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Daktari feki akamatwa Tanzania

Uongozi wa taasisi ya MOI katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam umemkamata mtu anayetuhumiwa kuwa daktari bandia Jumatatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki akamatwa Moro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...

 

9 years ago

Habarileo

Daktari feki atibu watu 20

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa Katesh katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Mohammed Abdallah (35), baada ya kukutwa akitoa huduma za kidaktari ambazo hana utaalamu wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro

>Kijana Karume Kauzu Habibu (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujifanya Daktari wa Hospitali Kuu mkoani hapa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Afariki baada ya kutibiwa na daktari feki Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

MKULIMA na mkazi wa kijiji cha Iyumbu tarafa ya Sepuka wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida,Jubulu Mahende,amefariki dunia muda mfupi baada ya kupewa matibabu na mtu anayedaiwa kuwa ni daktari feki.

Imedaiwa kuwa Jubulu aliyekuwa akisumbuliwa na kifua, kiuno na mgongo alizidishiwa dawa kitendo kilichopelekea hali yake kuwa mbaya zaidi.

Daktari huyo ambaye amekiri hana cheti cha aina yo yote kutoka vyuo vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani