Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO

Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi. Daktari feki akielekea kwenye gari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DAKTARI FEKI MWINGINE ADAKWA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO

Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.Daktari feki akielekea kwenye gari.Daktari feki, Karume Habibu akiingizwa kwenye gari.Akificha uso kukwepa kamera za GPL.Baadhi ya wafanyakazi wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wakishuhudia tukio hilo.
WIMBI la madaktari feki kuingia katika hospitali wakijifanya madaktari na...

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari feki anaswa Hospitali ya Muhimbili

 Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa ni daktari feki amekamatwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi akiwa na vifaa mbalimbali vya kitabibu, ikiwamo majina ya dawa zinazotumika wakati na baada ya kutoa mimba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki anaswa MOI

MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari feki akamatwa Moro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...

 

11 years ago

GPL

TRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!

Stori: Makongoro Oging’ KWA mara nyingine tena makachero wa polisi wamefanikiwa kumnasa trafiki feki ambaye anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam kwa ukamataji wa magari na kuwatoa fedha madereva, Uwazi lina mchapo kamili. Trafiki feki aliyenaswa na Polisi anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam anzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kinaeleza kwamba trafiki huyo feki anayejulikana kwa jina la Robinson Seif (30)...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA DAR

 Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
 Askari Polisi ambae jina...

 

11 years ago

Mwananchi

Daktari feki akamatwa hospitali ya Morogoro

>Kijana Karume Kauzu Habibu (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kujifanya Daktari wa Hospitali Kuu mkoani hapa.

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari wa ‘kichina’ anaswa Babati

WATU saba wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Manyara, akiwemo daktari bandia na wengine katika mtandao wa wizi wa magari uliyotokea jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Kamanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani