TRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!
![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W2d201zYQvbalEXZBhFoicFffh2fQrmvqCYY-PoUEmfNx7aUTAe1asxNusBaUy9dNovBiNOTWhYfHoLL7r9o7UP/TRAFIKI.jpg)
Stori: Makongoro Oging’ KWA mara nyingine tena makachero wa polisi wamefanikiwa kumnasa trafiki feki ambaye anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam kwa ukamataji wa magari na kuwatoa fedha madereva, Uwazi lina mchapo kamili. Trafiki feki aliyenaswa na Polisi anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam anzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kinaeleza kwamba trafiki huyo feki anayejulikana kwa jina la Robinson Seif (30)...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Aug
ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA DAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-yFWajDERlyM/U9017_4ar3I/AAAAAAAAaWg/cGpf_YyckOc/s1600/IMG-20140802-WA0000.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-ZlPGH56YwQU/U9018kvRMqI/AAAAAAAAaWk/j1LxNbEyHvU/s1600/IMG-20140802-WA0001.jpg)
11 years ago
GPLDAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO
11 years ago
Habarileo05 Aug
Trafiki feki akamatwa Dar es Salaam
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar
11 years ago
CloudsFM05 Aug
TRAFIKI ‘FEKI’ AIBUA MAZITO
SAKATA la askari 'feki' wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kunaswa wakiwa na sare za jeshi hilo baada ya kufukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali, bado limeendelea kulitesa Jeshi la Polisi nchini. Agosti 14,2013, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lilimkamata 'Trafiki feki', aliyefahamika kwa jina la James Hussein (45), mkazi wa Kimara Tangibovu, katika eneo la Tabata, Kinyerezi akijifanya askari wa kikosi hicho.
Juzi katika eneo la Chamazi Muhimbili, askari mwingine 'feki'...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Trafiki feki jela miaka 6
ALIYEJIFANYA Askari Polisi wa Usalama Barabarani, James Hassan (54) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na sare za Polisi na kujifanya mtumishi wa jeshi hilo.
10 years ago
Habarileo14 Aug
Shahidi aeleza trafiki feki alivyofukuzwa chuoni
SHAHIDI wa pili katika kesi ya aliyejifanya askari polisi wa usalama barabarani, James Hassan (45) ameileza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kuwa mshitakiwa huyo alifukuzwa baada ya kuchelewa kuingia chuoni.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Shahidi aeleza trafiki feki alivyopata sare za polisi
NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeelezwa kuwa mshitakiwa James Hassan (45), anayedaiwa kujifanya askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, alijipatia kofia na mkanda baada ya kufa kwa baba yake mdogo na kisha kushona sare za kikosi hicho.
Koplo Julius (36), ambaye ni shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma Hassan, alipokuwa akitoa ushahidi.
Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Felista Mosha, Koplo Julius alidai Agosti 14,...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Daktari feki anaswa MOI
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Dismas Macha, amekamatwa akiwa na nyaraka mbalimbali za Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), baada kubainika ni daktari ‘feki’ katika Kitengo cha Mifupa (MOI), jijini...