Trafiki feki akamatwa Dar es Salaam
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!
11 years ago
GPLPOLISI FEKI USALAMA BARABARANI AKAMATWA MBAGALA DAR
11 years ago
MichuziTrafiki wafanya kazi hadi usiku Dar es salaam
11 years ago
CloudsFM05 Aug
TRAFIKI ‘FEKI’ AIBUA MAZITO
SAKATA la askari 'feki' wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kunaswa wakiwa na sare za jeshi hilo baada ya kufukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali, bado limeendelea kulitesa Jeshi la Polisi nchini. Agosti 14,2013, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lilimkamata 'Trafiki feki', aliyefahamika kwa jina la James Hussein (45), mkazi wa Kimara Tangibovu, katika eneo la Tabata, Kinyerezi akijifanya askari wa kikosi hicho.
Juzi katika eneo la Chamazi Muhimbili, askari mwingine 'feki'...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Trafiki feki jela miaka 6
ALIYEJIFANYA Askari Polisi wa Usalama Barabarani, James Hassan (54) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na sare za Polisi na kujifanya mtumishi wa jeshi hilo.
10 years ago
Habarileo14 Aug
Shahidi aeleza trafiki feki alivyofukuzwa chuoni
SHAHIDI wa pili katika kesi ya aliyejifanya askari polisi wa usalama barabarani, James Hassan (45) ameileza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kuwa mshitakiwa huyo alifukuzwa baada ya kuchelewa kuingia chuoni.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Shahidi aeleza trafiki feki alivyopata sare za polisi
NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imeelezwa kuwa mshitakiwa James Hassan (45), anayedaiwa kujifanya askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, alijipatia kofia na mkanda baada ya kufa kwa baba yake mdogo na kisha kushona sare za kikosi hicho.
Koplo Julius (36), ambaye ni shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma Hassan, alipokuwa akitoa ushahidi.
Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Felista Mosha, Koplo Julius alidai Agosti 14,...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Daktari feki akamatwa Moro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Karume Kanzu (22), kwa tuhuma za kujifanya daktari wa hospitali kuu mkoani hapa na kuhudumia wagonjwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...