Trafiki wafanya kazi hadi usiku Dar es salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-iN2GeY6lhtM/U7G5ywCsEcI/AAAAAAAFtzs/0u9trzDwdcY/s72-c/dar1.jpg)
Kama ulidhania utaweza kuendesha gari usiku bila leseni ama kadi ya gari jijini Dar es salaam, umenoa. Siku hizi Wazee wa Feva wako kila mahali na wakati wowote ule....Hapa ni katika makutano ya barabara za Nkrumah na Bibi Titi saa tisa usiku ambapo magari yalisimamishwa na madereva wake kutakiwa kuonesha leseni na kadi za gari.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-U2dS3Pp4Kao/VUhJmJFHAfI/AAAAAAAHVXk/SpDsLDY2_9s/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
![](http://2.bp.blogspot.com/-dUXEP5ngMBY/VmvKAQeYLuI/AAAAAAABUYI/cJroCRIVUG4/s640/TRAFIKI%2BAJALI%2B%25285%2529.jpg)
9 years ago
Habarileo27 Nov
Trafiki zaidi 160 Dar wabadilishwa kazi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewabadilisha kazi wakaguzi saba na askari wa vyeo mbalimbali 157 wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao utendaji kazi wao umeonekana kukosa tija.
11 years ago
Habarileo05 Aug
Trafiki feki akamatwa Dar es Salaam
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Twanga Pepeta wafanya shoo ya nguvu Maisha Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), akiwa na Kalala Junior (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Haji Ramadhani (wa kwanza kulia) wakitoa burudani kwa mashabiki wao kwenye shoo iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar
Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p2o7Lk-gOAs/VRR_gzsowTI/AAAAAAAAEko/yVGt3cxk6Ns/s72-c/Mayingu2.jpg)
PSPF WAFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA ZA DAR NA PWANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-p2o7Lk-gOAs/VRR_gzsowTI/AAAAAAAAEko/yVGt3cxk6Ns/s1600/Mayingu2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xW4Z7838B5w/VRR_jgZY4RI/AAAAAAAAEkw/LuEIaXfpmX4/s1600/Profesa%2BHermans%2BMwansoko.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vcNW6soM_lQ/VgeFIzJ6fpI/AAAAAAAH7V8/tLowLrF6pzI/s72-c/0L7C0076.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wafanya biashara wa chakula mkoa wa Dar Es Salaam waanzisha jumuiya ya Mama na Baba lishe!
Baadhi ya akina mamalishe na babalishe wakiwa katika moja ya majumuiko yao (Picha kwa msaada wa mtandao wa Global Publisher.
Na Rabi Hume
Wafanya biashara wa kuuza chakula katika mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha jumuiya ya wafanya biashara hao ikiwa na lengo la kuunganisha wafanyabiashara hao, kulinda haki zao na kuzitafutia ufumbuzi wapatapo tatizo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Ramadhani Mhonzu amesema kuwa wameamua kuanzisha jumuiya hiyo ili iweze...
10 years ago
VijimamboWAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA JIJINI DAR ES SALAAM JANA