Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Trafiki zaidi 160 Dar wabadilishwa kazi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewabadilisha kazi wakaguzi saba na askari wa vyeo mbalimbali 157 wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao utendaji kazi wao umeonekana kukosa tija.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?

Kupitia kipindi cha KAZI NA NGOMA ya JEMBE FM Mwanza stori ya Traffic aliyetumbukia mtaroni akiendesha bajaji ya mizigo aliyoikamata kutoka kwa dereva wa bodaboda imesikika, nini kisa na mkasa kwa ufupi ni kwamba> Mara baada ya kumkamata mwendeshaji Hamisi Omary kwa kusa la kupakia mzigo mkubwa wa mbao alimwamuru kulipa faini ya shilingi elfu 30, naye Hamisi akamwomba msamaha kwa Traffic huyo kwamba ni fedha nyingi sana ambayo hawezi kuilipa kwa hata kipato anachokipata toka kwa tajiri...

 

11 years ago

Michuzi

Trafiki wafanya kazi hadi usiku Dar es salaam

 Kama ulidhania utaweza kuendesha gari usiku bila leseni ama kadi ya gari jijini Dar es salaam, umenoa. Siku hizi Wazee wa Feva wako kila mahali na wakati wowote ule....Hapa ni katika makutano ya barabara za Nkrumah na Bibi Titi saa tisa usiku ambapo magari yalisimamishwa na madereva wake kutakiwa kuonesha leseni na kadi za gari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MAFAO YA WABUNGE KUFURU… Milioni 160 kwa kazi gani?

INASADIKIWA kama inavyosadifu kutoka kwenye mabaraza ya nchi mbalimbali, kwamba baadhi ya wabunge (wawakilishi wa wananchi) wametawaliwa na ubinafsi, hususan panapokuwa na masilahi yanayowahusu. Imeshuhudiwa nchi jirani ya Kenya, wabunge...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Trafiki kumi wafukuzwa kazi

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafukuza kazi askari wake 10 kwa kosa la kwenda kinyume cha kanuni na  sheria za jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari  jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Trafiki watatu wafukuzwa kazi

traffic mapenziNA RENATHA KIPAKA, BUKOBA

JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kulifedhehesha jeshi hilo kutokana na kitendo cha kupiga picha inayowaonyesha wawili kati yao wakinyonyana ndimi wakiwa kazini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema kitendo kilichofanywa na askari hao kimeshusha hadhi ya jeshi.

Aliwataja askari hao waliofukuzwa ni F.7788 PC Mpaji Mwasumbi, G 2122 PC Fadhili Linga na WP.8898 Veronica...

 

10 years ago

GPL

TRAFIKI WA PICHA YA MAHABA WATIMULIWA KAZI

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioachishwa kazi. ASKARI wa Kikosi cha Usalama Barabarani waliopiga picha ya mahaba wakibusiana huku wakiwa wamevaa sare za Jeshi la Polisi na picha yao ikasambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii wamefukuzwa kazi.…

 

9 years ago

Habarileo

Trafiki anayehusishwa na rushwa afukuzwa kazi

JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi kwa kosa la fedheha aliyekuwa askari wake katika Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Anthony Temu (46) wa Kituo cha Polisi Kabuku wilayani Handeni.

 

11 years ago

Habarileo

Trafiki 27 wafutwa kazi kwa rushwa

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Taifa, Mohamed MpingaASKARI 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii wapigwa ‘stop’ kufanya kazi ya trafiki

Kutokana na tatizo la kukosa ajira nchini, baadhi ya vijana wameamua kujiajiri kwa kufanya kazi ya kuendesha pikipiki kusafirisha abiria maarufu bodaboda, baada ya kununua na wengine wakipatiwa na watu binafsi kwa makubaliano maalumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani