MAFAO YA WABUNGE KUFURU… Milioni 160 kwa kazi gani?
INASADIKIWA kama inavyosadifu kutoka kwenye mabaraza ya nchi mbalimbali, kwamba baadhi ya wabunge (wawakilishi wa wananchi) wametawaliwa na ubinafsi, hususan panapokuwa na masilahi yanayowahusu. Imeshuhudiwa nchi jirani ya Kenya, wabunge...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Ubinafsi wa wabunge umezaa milioni 160/-
MOJA ya taarifa iliyonishtua ni ya wabunge kupata kiasi cha sh milioni 160 kila mmoja kama fao lililotengwa na Hazina tangu mwaka jana. Wabunge wamejiongezea asilimia 272 ya kiinua mgongo...
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Serikali ya TZ yakana mafao kwa wabunge
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Japan yachangia sh. milioni 160 shule ya msingi Kakuni
Kaimu Balozi wa Japan, Bw. Kazuyoshi Matsunaga akisoma risala fupi mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) wakati wa hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa msaada wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
*Waziri Mkuu aomba Watanzania wamuunge mkono
SERIKALI ya Japan imetoa msaada wa dola za Marekani 90,286 sawa na sh. milioni...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0144.jpg)
JAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI
9 years ago
Mwananchi30 Oct
DNA inapatikana wapi na ni kwa ajili ya kazi gani?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCib99VmL7uTv2VR20drNXmaz6lv6onRvK5RtZiw32qeOD02bqXCMKHbLrr2izL6Em0hJcVwq8Ww0jfS9lDWeAGN/1.jpg?width=650)
WATEJA WA TIGO WAJISHINDIA SHILINGI MILIONI 160 MSIMU WA MWAKA MPYA
9 years ago
Habarileo27 Nov
Trafiki zaidi 160 Dar wabadilishwa kazi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewabadilisha kazi wakaguzi saba na askari wa vyeo mbalimbali 157 wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambao utendaji kazi wao umeonekana kukosa tija.
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
CWT Singida yapinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida Aran Jumbe, akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za chama hicho kuhusiana na tamko la chama juu ya kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa Wastaafu.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
Chama cha Walimu CWT kimetoa tamko la kupinga rasimu ya Wizara ya kazi na ajira juu ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kuboresha Viwango vya Mafao ya Pensheni kwa...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200. Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa. […]
The post Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200.. appeared first on TZA_MillardAyo.