Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..

Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200. Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa. […]

The post Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200.. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye

Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwa mara nyingine kuwa Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi. Mayweather amesema watu wengi wanafikiri tofauti kwamba atapigana tena. Pambano hilo la 49 ndilo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa. Andre Berto […]

 

10 years ago

Michuzi

news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

 Na Sultani KipingoBingwa wa dunia wa masumbi Floyd Mayweather (kushoto) amevuliwa mkanda wa WBO alioupata baada ya kumshinda Manny (kulia)
Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...

 

10 years ago

Vijimambo

Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.


Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.


Floyd Mayweather
 
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkwara wa Floyd Mayweather hadharani

Bondia Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Pacquiao

Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.

 

10 years ago

StarTV

Floyd Mayweather afanya mazoezi hadharani.

Katika hali isiyotarajiwa bondia raia wa Marekani Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha ikiwa ni maandalizi kuelekea katika pambano lake dhidi ya bondia Manny Pacquiao raia wa Philippine.

Mayweather ambaye ni bingwa wa WBA na WBC, ameweka rekodi ya kucheza mapambano 47 ya kulipwa bila kupoteza hata moja wakati mpinzani wake amepigana mapambano 57, akiwa amepigwa mara tano na kutoka sare mara mbili.

Pambano kati ya wawili hao...

 

9 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Andre Berto

Floyd Mayweather amemshinda Andre Berto mjini Las Vegas kwa alama na kusisitiza kuwa hilo ndilo pigano lake la mwisho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Floyd Mayweather on Conor McGregor’s taunt: He’s a joke

f08df6e0-e2ae-11e4-821f-b7380fa07382__MG_0073_FWFloyd Mayweather Jr. trains for his fight against Manny Pacquiao on May 2. (Getty)

When UFC fighter Conor McGregor said earlier this week he would “kill” boxing’s Floyd Mayweather in less than 30 seconds, more than a few people wrote it off as hyperbole – a bit of gamesmanship on the part of the vocal Irishman.

Mayweather once famously said, “I don’t know who he is,” when asked about the UFC’s Ronda Rousey. But apparently Mayweather heard McGregor’s jawing loud and clear – and Mayweather...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani