Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye

Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwa mara nyingine kuwa Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi. Mayweather amesema watu wengi wanafikiri tofauti kwamba atapigana tena. Pambano hilo la 49 ndilo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa. Andre Berto […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Andre Berto

Floyd Mayweather amemshinda Andre Berto mjini Las Vegas kwa alama na kusisitiza kuwa hilo ndilo pigano lake la mwisho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mayweather kuzichapa na Andre Berto

Bingwa wa ndondi katika uzani wa Welter duniani Floyd Mayweather amesisitiza kuwa pigano lake kati yake na bingwa katika uzani huo Andre Berto litamwezesha kufikia rekodi iliowekwa na Rocky Marciano ya mapigano 49 bila kushindwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..

Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ya matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1 sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200. Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa. […]

The post Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

 Na Sultani KipingoBingwa wa dunia wa masumbi Floyd Mayweather (kushoto) amevuliwa mkanda wa WBO alioupata baada ya kumshinda Manny (kulia)
Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Manny Paqcuiao na Mayweather kupigana

Pigano ambalo limesubiriwa kwa miaka linatarajiwa kuanza katika mji wa Las vegas nchini marekani muda mfupi unaokuja,

 

10 years ago

Mtanzania

Baba amtaka Mayweather kupigana na Amir Khan

Floyd Mayweather Jr., Robert GuerreroLAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya bondia Floyd Mayweather kuchukua ubingwa wa pambano la masumbwi dhidi ya Manny Pacquiao Mei 3 mwaka huu, baba wa bondia huyo amemtaka mwanawe kupigana na Amir Khan katika pambano lake la mwisho.
Mayweather amesisitiza kuwa Septemba mwaka huu anatarajia kustaafu ngumi, hivyo anahitaji pambano moja la mwisho ili kuweza kuachana na mchezo huo, ambapo baba yake anaona bora mwanawe apigane na Amir Khan.
Baba wa Mayweather anaamini kuwa Amir Khan hana uwezo mkubwa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Floyd Mayweather amshinda Pacquiao

Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkwara wa Floyd Mayweather hadharani

Bondia Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha.

 

10 years ago

StarTV

Floyd Mayweather afanya mazoezi hadharani.

Katika hali isiyotarajiwa bondia raia wa Marekani Floyd Mayweather ameamua kufanya mazoezi ya wazi na kuruhusu vyombo vya habari kuchukua picha ikiwa ni maandalizi kuelekea katika pambano lake dhidi ya bondia Manny Pacquiao raia wa Philippine.

Mayweather ambaye ni bingwa wa WBA na WBC, ameweka rekodi ya kucheza mapambano 47 ya kulipwa bila kupoteza hata moja wakati mpinzani wake amepigana mapambano 57, akiwa amepigwa mara tano na kutoka sare mara mbili.

Pambano kati ya wawili hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani