Mayweather kuzichapa na Andre Berto
Bingwa wa ndondi katika uzani wa Welter duniani Floyd Mayweather amesisitiza kuwa pigano lake kati yake na bingwa katika uzani huo Andre Berto litamwezesha kufikia rekodi iliowekwa na Rocky Marciano ya mapigano 49 bila kushindwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
Floyd Mayweather amshinda Andre Berto
Floyd Mayweather amemshinda Andre Berto mjini Las Vegas kwa alama na kusisitiza kuwa hilo ndilo pigano lake la mwisho.
9 years ago
Bongo508 Sep
Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye
Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwa mara nyingine kuwa Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi. Mayweather amesema watu wengi wanafikiri tofauti kwamba atapigana tena. Pambano hilo la 49 ndilo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa. Andre Berto […]
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Pacquiao na Mayweather kuzichapa?
Lile pambano la masumbwi la uzito wa welterweight linalosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao limeiva.
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Mayweather akubali kuzichapa na Pacquiao
Floyd Mayweather Junior ametangaza kuwa pigano na mwanamasumbwi raia wa ufilipino Manny Pacquiao litafanyika mjini Las Vegas Mei 2
10 years ago
Bongo513 Sep
Mayweather na Maidana kuzichapa tena leo
Floyd Mayweather Jr. na bondia wa Argentina, Marcos Maidana wanazichapa tena leo jijini Las Vegas. Wawili hao walizichapa kwa mara ya kwanza May 4, na Mayweather kushinda kwa pointi. Mayweather atakuwa akitetea mikanda yake ya World Boxing Association na World Boxing Council. Mechi hiyo ya raundi 12 itapigwa kwenye ukumbi wa MGM Grand Garden Arena […]
10 years ago
Bongo521 Feb
Done Deal: Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kuzichapa May 2
Pambano lililosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hatimaye limethibitishwa rasmi kuwa litafanyika May 2 baada ya kipindi kirefu cha mazungumzo kati yao. Mafahari hao watazichapa kwenye ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas ambapo mgawano wa mapato utakuwa ni 60-40. Mayweather atachukua fedha nyingi zaidi. Makubaliano yaliyofikiwa ni pamoja na wote […]
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Swansea yamsajili Andre Ayew
Mshambuliaji wa Ghana Andre Ayew amejiunga na kilabu ya Swansea kwa uhamisho wa bure na kuandikisha mkataba wa miaka minne na kilabu hiyo.
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/0501/production/_86618210_ayew.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania