Baba amtaka Mayweather kupigana na Amir Khan
LAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya bondia Floyd Mayweather kuchukua ubingwa wa pambano la masumbwi dhidi ya Manny Pacquiao Mei 3 mwaka huu, baba wa bondia huyo amemtaka mwanawe kupigana na Amir Khan katika pambano lake la mwisho.
Mayweather amesisitiza kuwa Septemba mwaka huu anatarajia kustaafu ngumi, hivyo anahitaji pambano moja la mwisho ili kuweza kuachana na mchezo huo, ambapo baba yake anaona bora mwanawe apigane na Amir Khan.
Baba wa Mayweather anaamini kuwa Amir Khan hana uwezo mkubwa wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Amir Khan kupigana na Manny Pacquiao
LAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya bondia, Floyd Mayweather, kuachana na pambano la Amir Khan na kumchagua Andre Berto, Khan ameamua kuomba pambano dhidi ya Manny Pacquiao.
Mayweather anatarajia kupigana pambano lake la mwisho Septemba 12 mwaka huu dhidi ya Berto, awali Khan alimuomba Mayweather kupambana katika pambano hilo lakini Mayweather aliamua kumchagua Berto.
Kutokana na hali hiyo, Khan anatarajia kupambana na Pacquiao mwanzoni mwa mwaka 2016.
Mwandaaji wa pambano hilo ambaye ni wakala wa...
10 years ago
Bongo518 Dec
Mayweather: Hakuna anayemjua Amir Khan, namtaka Pacquiao
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Amir Khan amchapa Alexander Devon
10 years ago
BBCSwahili22 Dec
Bondia Amir Khan kuelekea Pakistan
10 years ago
BBCSwahili03 May
Manny Paqcuiao na Mayweather kupigana
10 years ago
Bongo508 Sep
Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Baba Amtaka Rose Ndauka Aolewe!
Baba mzazi wa staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka, Donatus Ndauka anadaiwa kumtaka mwanaye huyo kuangalia uwezekano wa kuingia maisha ya ndoa kwa vile siku zinakatika kama mvua za masika.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL, baba huyo mwenye makazi yake jijini Tanga alimpigia simu mwanaye mapema wiki hii baada ya kusoma habari kupitia Magazeti pendwa ikimkariri mzazi mwenzake na staa huyo, Malick Bandawe akisema hakuna mwanamke kama Rose.
Malick alisema licha ya kumwagana na Rose mwaka jana, lakini...
10 years ago
GPL
BABA WA MAYWEATHER AMKEJELI PACQUIAO NA SHAIRI LA USHINDI
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Wananiita Shahrukh Khan wa Afrika Mashariki- Baba Haji
MWIGIZAJI bingwa wa filamu za kimahaba Bongo Haji Adam ‘Baba Haji’ amefunguka na kutamba kuwa moja ya sababu kubwa ya kuambiwa ni Shahrukh Khan wa Afrika ya Mashariki ni kutokana na kumudu kuigiza filamu za mahaba kwa hisia kubwa na kuwagusa watazamaji hasa anapoigiza kulilia mapenzi kutoka kwa mwanadada.
“Unajua kuwa wasanii wengi ujiita majina mengi wao wenyewe lakini mimi naitwa Shahrukh Khan na wapenzi wangu wa filamu, nilipokuwa Iringa ndio niligundua jina hilo kila mpenzi wa sinema...