Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mayweather: Hakuna anayemjua Amir Khan, namtaka Pacquiao

Ushindi wa bondia wa Uingereza, Amir Khan Jumamosi iliyopita dhidi ya Devon Alexander ulimfungulia uwezekano wa kupata pambano alilolisubiri kwa muda mrefu na Floyd Mayweather, lakini Mayweather anasema hana mpango wa kuzichapa na Khan kwa sasa, na kwamba anayemtaka ni Manny Pacquiao tu. “Usiku uliopita nadhani alipata watu 4,000, hivyo Amir Khan, jina lake halina […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Amir Khan kupigana na Manny Pacquiao

Pacquiao na KhanLAS VEGAS, MAREKANI

BAADA ya bondia, Floyd Mayweather, kuachana na pambano la Amir Khan na kumchagua Andre Berto, Khan ameamua kuomba pambano dhidi ya Manny Pacquiao.

Mayweather anatarajia kupigana pambano lake la mwisho Septemba 12 mwaka huu dhidi ya Berto, awali Khan alimuomba Mayweather kupambana katika pambano hilo lakini Mayweather aliamua kumchagua Berto.

Kutokana na hali hiyo, Khan anatarajia kupambana na Pacquiao mwanzoni mwa mwaka 2016.

Mwandaaji wa pambano hilo ambaye ni wakala wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Baba amtaka Mayweather kupigana na Amir Khan

Floyd Mayweather Jr., Robert GuerreroLAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya bondia Floyd Mayweather kuchukua ubingwa wa pambano la masumbwi dhidi ya Manny Pacquiao Mei 3 mwaka huu, baba wa bondia huyo amemtaka mwanawe kupigana na Amir Khan katika pambano lake la mwisho.
Mayweather amesisitiza kuwa Septemba mwaka huu anatarajia kustaafu ngumi, hivyo anahitaji pambano moja la mwisho ili kuweza kuachana na mchezo huo, ambapo baba yake anaona bora mwanawe apigane na Amir Khan.
Baba wa Mayweather anaamini kuwa Amir Khan hana uwezo mkubwa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Amir Khan amchapa Alexander Devon

Bondia wa Uingereza Amir Khan ametetea taji lake kwa wingi wa pointi dhidi ya bondia raia wa Marekani Devon Alexander

 

10 years ago

BBCSwahili

Bondia Amir Khan kuelekea Pakistan

Bondia wa uingereza Amir Khan atakwenda Pakistan, mwisho wa mwezi kuonyesha ushirikano kwa waathirika wa mauaji ya shule Peshawar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pacquiao na Mayweather kuzichapa?

Lile pambano la masumbwi la uzito wa welterweight linalosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao limeiva.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather na Pacquiao wakosolewa

Mabondia mashuhuri wa zamani wa Kenya, Steve Muchoki na Muhammad Abdallah Kent, wamewakosoa Floyd Mayweather na Manny Paqcuiao

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather Vs Pacquiao:Nani bingwa?

Mayweather atarajiwa kupokea zaidi ya dolla millioni $150m na Pacquiao kama millioni $100m.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather

Manny Pacquiao ametamba kumchakaza mpinzani wake kwenye mpambano utakaofanyika tarehe mbili mwezi ujao

 

10 years ago

Michuzi

jinsi Mayweather alivyomshinda Pacquiao

 Bondia wa Kimarekani,Floyd Mayweather Jr akimrushia konde kali mpinzani wake, Manny Pacquiao wa Philipines wakati wa mpambano wao wa kihistoria na uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na watu wengi Duniani kote, uliopigwa mapema leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa MGM Grand Garden Arena, jijini Las Vegas, Marekani. Bondio Floyd Mayweather ameshinda mchezo huo kwa point 118-110, 116-112, 116-112 kutoka kwa waamuzi wa mchezo huo na kunyakuwa mkanda wa WBO huku akiifanya rekodi yake ya kutopigwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani