Wananiita Shahrukh Khan wa Afrika Mashariki- Baba Haji
MWIGIZAJI bingwa wa filamu za kimahaba Bongo Haji Adam ‘Baba Haji’ amefunguka na kutamba kuwa moja ya sababu kubwa ya kuambiwa ni Shahrukh Khan wa Afrika ya Mashariki ni kutokana na kumudu kuigiza filamu za mahaba kwa hisia kubwa na kuwagusa watazamaji hasa anapoigiza kulilia mapenzi kutoka kwa mwanadada.
“Unajua kuwa wasanii wengi ujiita majina mengi wao wenyewe lakini mimi naitwa Shahrukh Khan na wapenzi wangu wa filamu, nilipokuwa Iringa ndio niligundua jina hilo kila mpenzi wa sinema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Baba Haji: Wananiita Shahrukh Khan wa Afrika Mashariki
Staa wa Bongo Movies anaesemekana kuwa ni bingwa wa filamu za kimahaba, Haji Adam ‘Baba Haji’ amefunguka na kutamba kuwa moja ya sababu kubwa ya kuambiwa ni Shahrukh Khan wa Afrika ya Mashariki ni kutokana na kumudu kuigiza filamu za mahaba kwa hisia kubwa na kuwagusa watazamaji hasa anapoigiza kulilia mapenzi kutoka kwa mwanadada.
“Unajua kuwa wasanii wengi ujiita majina mengi wao wenyewe lakini mimi naitwa Shahrukh Khan na wapenzi wangu wa filamu, nilipokuwa Iringa ndio niligundua jina...
10 years ago
Michuzi
MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Baba Haji Kufunga Ndoa Leo
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.
Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.
“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...
10 years ago
GPL
BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO
9 years ago
GPL
KAMPENI ZAMKOSESHA MTOTO BABA HAJI
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi
NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...
10 years ago
GPL
HARUSI YA BABA HAJI MASTAA WAFANYA KUFURU