Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARUSI YA BABA HAJI MASTAA WAFANYA KUFURU

SAA chache kabla ya kuanza kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameangusha bonge la harusi baada kufunga ndoa na mrembo aliyetajwa kwa jina la Latifa Sharji wiki moja iliyopita huku mastaa wakifanya kufuru kama kawaida yao. Staa wa sinema za Kibongo, Haji Adam ‘Baba Haji’ akivishwa pete na mkewe Latifa Sharji. Kabla ya pati hiyo iliyochukua nafasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baba Haji, Lemutuz Watifuana, Kisa Mchango wa Harusi

Staa wa Bongo Movies, Adam Haji ‘Baba Haji’ amemtolea uvivu ‘The King Of All Bongo Social Media Network’ Lemutuz kutokana na tukio la udhalilishaji  alilolifanya dhidi yake!

Lemutuz ambaye amezoeleka kwa kutoa hisia na mtazamo wake juu ya mambo mbali mbali mtandaoni, mapema wiki iliyopita alimnanga Baba Haji kupitia ukurasa wke kwenye mtandao wa instagram akidai kuwa  amekuwa akisumbua kuhusu michango ya harusikiasi cha kubadili staili ya kudai michango hiyo.

Kutokana na kitendo hicho Baba...

 

11 years ago

GPL

HARUSI YA KANYE WEST KUFURU

Matukio mbalimbali ya sherehe hiyo katika picha. Wageni waalikwa wakiwa ndani ya ndege wakielekea Florence, Italia kwa ajili ya ndoa ya Kim na Kanye.…

 

10 years ago

Mwananchi

Majambazi wafanya kufuru Bukombe

>Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Bukombe mkoani Geita kimevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za kivita pamoja na mabomu, na kuwaua askari polisi wawili na wengine wawili kujeruhiwa.

 

11 years ago

Habarileo

Majangili wafanya kufuru mbugani

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu TEMBO 60 wameuawa na majangili kwenye hifadhi mbalimbali nchini katika mwezi mmoja tangu operesheni tokomeza isitishwe.

 

11 years ago

GPL

NISHA NA TIMU YAKE WAFANYA KUFURU KWA WATOTO YATIMA VINGUNGUTI

  Timu Nisha wakitinga katika kituo cha Mwana Orphans kilichopo Vingunguti jijini Dar. Timu Nisha wakiwa mbele ya watoto (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra

MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...

 

9 years ago

Global Publishers

Baba Haji adai anasakwa auawe!

BABA_HAJIMwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.

Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...

 

10 years ago

GPL

BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO

Hamida Hassan
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji. Staa wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’. Akizungumza na Amani juzi, Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.… ...

 

9 years ago

GPL

KAMPENI ZAMKOSESHA MTOTO BABA HAJI

MAYASA MARIWATA MSANII wa filamu Bongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amesema kampeni za siasa zilizokuwa zikifanyika kuelekea uchaguzi mkuu uliopita, zimemkosesha kupata mtoto kwa vile alikuwa mbali na mkewe aliyebaki Dar. Msanii wa filamu Bongo, Haji Adamu ‘Baba Haji. Akizungumza na gazeti hili, alisema alipata mtoto mmoja wa kiume katika uhusiano wake kabla hajamuoa mwanamke huyo, lakini akakosa amani kwa sababu ya hamu yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani