BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO
Hamida Hassan STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji. Staa wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’. Akizungumza na Amani juzi, Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Baba Haji Kufunga Ndoa Leo
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.
Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.
“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...
5 years ago
BBCSwahili28 May
Romina Ashrafi: Baba amkatakata na kumuua mwanawe wa kike kwa kufunga ndoa kisiri Iran
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba Haji adai anasakwa auawe!
Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’.
Mwandishi wetu
Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya wakiwa na lengo la kumuua bila sababu hivyo kwa sasa anatembea na...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...
9 years ago
GPLKAMPENI ZAMKOSESHA MTOTO BABA HAJI
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi
NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...
10 years ago
GPLHARUSI YA BABA HAJI MASTAA WAFANYA KUFURU
10 years ago
GPLBABA HAJI: KANUMBA AMEONDOKA NA SANAA YA BONGO
10 years ago
GPLBABA HAJI ASHANGILIA ANGUKO LA WEMA SEPETU!