BABA HAJI ASHANGILIA ANGUKO LA WEMA SEPETU!
![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6A1k0XrB3Ga3tTMN4RAePSMqazMO364RtdMCmdYJWoZoj2uT2F8vnQvnsTNCrtDIBXEk3Mq2ZPWIPAUwetVwf7o/haji.gif?width=650)
STAA wa filamu Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ juzikati aliangusha sebene la nguvu kwenye Viwanja vya Ngome Kongwe, Zanzibar baada ya kupata taarifa kuwa staa wa kike nchini aliyekuwa akiwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wema Isaac Sepetu ameangushwa. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1MVEZNY ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba Kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume wa Kweli!
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa band ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.
Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.
“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/13SlHjEdb8OfAUd2DVYCfhuqkwE9u8DqV728YPP04TH5qWHBCISx8kZhyLCPUaQ5p1TGHxCk-Kfw8CXCYBc05XJCpurwwn5L/BabaHaji.jpg)
KAMPENI ZAMKOSESHA MTOTO BABA HAJI
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzffExVNlSda4WSsS5BPndlYkmiMCF02Bb7vrh7cnIASWCwgRYR3SnxO6JFtKNlyrUDoga1foR6LlEXvFIG7IYi7/BabaHaji.jpg)
BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi
NA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...
10 years ago
Bongo Movies11 Jun
Baba Haji Kufunga Ndoa Leo
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.
Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.
“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...