Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Romina Ashrafi: Baba amkatakata na kumuua mwanawe wa kike kwa kufunga ndoa kisiri Iran

Adhabu ya kina baba wanaowaua wanao Iran ni kati ya miaka 3 hadi 10

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan

Mwanamke amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki kwa kuolewa na mtu wasiomkubali

 

10 years ago

GPL

BABA HAJI KUFUNGA NDOA LEO

Hamida Hassan
STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji. Staa wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’. Akizungumza na Amani juzi, Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baba Haji Kufunga Ndoa Leo

STAA wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’ leo anatarajia kufunga ndoa kwenye Msikiti wa Bungoni jijini Dar na mchumba ‘ake wa siku nyingi, Latifa Sharji.

Baba Haji alisema anamshukuru Mungu kufikia hatua hiyo kubwa katika maisha yake kwani ni jambo alilokuwa akilisubiri kwa miaka kadhaa.

“Yaani namshukuru Mungu, nampenda mpenzi wangu Latifa na namshukuru kwa kunikubalia kufunga ndoa kwani wengine huishia njiani katika safari yao ya mapenzi,” alisema Baba...

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kumuua mwanawe

BABA mzazi anatuhumiwa kumuua mwanawe katika kijiji cha Igalla wilayani Ukerewe katika ugomvi wa shamba.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo

Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

5 years ago

Michuzi

WATU WANNE WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAO MZAZI


JESHI la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne,watatu wakiwa familia moja kwa tuhuma za kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni na sehemu za siri Baba yao Lumba Nhalima(57).
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 3 usiku katika kijiji cha Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wakati marehemu akitoka kunywa pombe na kuelekea nyumbani.
Akithibitisha tukio hilo,Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Benjamin Kuzaga alisema, siku ya tukio watuhumiwa walimnywesha pombe...

 

11 years ago

Habarileo

Baba aua mwanawe chekechea

MTOTO mwenye umri wa miaka saba, mjini Tunduma wilayani Momba, ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na baba yake mzazi akimtuhumu kwa uzururaji.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Bi Sophia Simba (katikati) akisaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza ya kukomesha ndoa za utotoni na ukeketaji wa watoto wa kike. kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini,Bi.Dianna Melrose kulia ni Mwakilishi wa UNFPA,Dr.Natalia Kanem, leo katika ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto.

Picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya pamoja baina ya Tanzania na Uingereza  kukomesha ndoa za utotoni na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani