Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo
Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...
11 years ago
MichuziBaba adaiwa kumuua mwanaye wa miaka 8 mkoani Njombe
Njombe SACP Fulgence Ngonyani Na Edwin Moshi, Njombe Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia Bw. Yusufu Sadick Mkalile (33) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaaa mwenyewe kwa kumziba pua na mdomo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani imesema kuwa mtuhumiwa alitenda mauaji hayo Machi 16 mwaka huu majira ya saa 03:20 asubuhi, ambapo alimziba pua na mdomo mwanaye huyo aitwaye...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari
10 years ago
GPLMAMA: KIPIGO CHA BABA YAKE KIMESABABISHA MTOTO AFANYIWE UPASUAJI WA KICHWA
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Baba ajinyonga akidhani amemuua mwanaye kwa kipigo
5 years ago
MichuziWATU WANNE WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAO MZAZI
JESHI la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu wanne,watatu wakiwa familia moja kwa tuhuma za kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni na sehemu za siri Baba yao Lumba Nhalima(57).
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 3 usiku katika kijiji cha Kasekese wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wakati marehemu akitoka kunywa pombe na kuelekea nyumbani.
Akithibitisha tukio hilo,Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Benjamin Kuzaga alisema, siku ya tukio watuhumiwa walimnywesha pombe...
10 years ago
Mtanzania22 May
Mtoto akamatwa kwa tuhuma za kumuua mwenzake
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolla Hill, Judith Chomile (15) kwa tuhuma za mauaji.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kumnyonga ndugu yake, Edrin Mafwele (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Benard Bendel iliyopo Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo lilitokea juzi usiku wakati watoto hao walipokuwa nyumbani kwao.
Baba wa marehemu Edrin Mafwere aliyefahamika kwa jina la Barnabas Mafwele, mkazi...
5 years ago
BBCSwahili28 May
Romina Ashrafi: Baba amkatakata na kumuua mwanawe wa kike kwa kufunga ndoa kisiri Iran