Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo

Askari wa kikosi cha Mbwa na Farasi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua rafiki yake akiwa amemfunga pingu miguuni baada ya kumtuhumu kumuibia kadi za benki na pochi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mfanya biashara Arusha adaiwa kumuua rafiki yake

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMFANYABIASHARA maarufu wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Felix Mmasi (41) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha akituhumiwa kumpiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola mtu anayedaiwa kuwa ni rafiki yake na kumsababishia umauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo

Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA

Na John Gagarini, Kibaha 
 KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...

 

11 years ago

Michuzi

AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA

Na John Gagarini, Kibaha  KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.  Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5 asubuhi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasisi afariki ghafla kwa 'rafiki' yake

Kasisi mmoja mashuhuri nchini Kenya alizimia na kufariki katika hali ya kutatanisha nyumbani kwa mwanamke ambaye sie mke wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kumuua kaka yake

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kumuua mama yake kwa fimbo

WATU wawili kutoka vijiji tofauti wilayani Rorya wanashikiliwa na polisi mmoja akituhumiwa kumuua mama yake mzazi kwa kumpiga na fimbo na mwingine kwa kumuunguza viganja binti yake akimtuhumu kuiba fedha.

 

11 years ago

GPL

MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!

Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani