Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanya biashara Arusha adaiwa kumuua rafiki yake

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus SabasMFANYABIASHARA maarufu wa madini ya tanzanite jijini Arusha, Felix Mmasi (41) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha akituhumiwa kumpiga risasi kwa kutumia silaha aina ya bastola mtu anayedaiwa kuwa ni rafiki yake na kumsababishia umauti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo

Askari wa kikosi cha Mbwa na Farasi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua rafiki yake akiwa amemfunga pingu miguuni baada ya kumtuhumu kumuibia kadi za benki na pochi.

 

11 years ago

GPL

MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!

Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwinjilisti adaiwa kumuua mkewe

Mwinjilisti wa Kanisa la Anglikana Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, anadaiwa kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi, kwa kumpiga na panga kichwani kisha kumfukia chini ya magogo aliyoandaa kwenye tanuri la mkaa porini.

 

11 years ago

Habarileo

Mke adaiwa kuhusika kumuua mumewe

MKAZI wa kijiji cha Vikonge wilayani Mpanda, Kitola Jeremia (45) ameuawa kwa kupasuliwa tumbo lake kwa kisu na utumbo wake wote kutolewa nje na watu wawili wanaodaiwa kukodishwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo

Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

11 years ago

Michuzi

Baba adaiwa kumuua mwanaye wa miaka 8 mkoani Njombe

Kamanda wa polisi mkoa wa
Njombe SACP Fulgence Ngonyani Na Edwin Moshi, Njombe Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia Bw. Yusufu Sadick Mkalile (33) kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaaa mwenyewe kwa kumziba pua na mdomo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe SACP Fulgence Ngonyani  imesema kuwa mtuhumiwa alitenda mauaji hayo Machi 16 mwaka huu majira ya saa 03:20 asubuhi, ambapo alimziba pua na mdomo mwanaye huyo aitwaye...

 

10 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO ASAKWA, ADAIWA KUTISHA KUMUUA MUUMINI WA GWAJIMA

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah LILE sakata la Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo – Kibangu, Dar, Lusekelo Anthon ‘Mzee wa Upako’ kufyatua risasi mtaani limechukua sura mpya baada ya  kijana aliyejitambulisha kwa jina la Robert  Lugala, mkazi wa Kibangu kuibuka na kudai alitishiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na mchungaji huyo. Kijana anayejitambulisha kwa jina la Robert  Lugala,...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR APOKEA VIFAA MBALI MBALI VYA AFYA KUTOKA KWA MFANYA BIASHARA SAID NASSIR NASOR (BOPER)

Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar  Wizara ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa  vifaa mbali mbali vya afya  kutoka kwa Mdau wa Maendeleo Said Nassir Nassor Bopar kwa ajili ya kupambana na kujikinga na maambukizi ya Corona. Akipokea msaada huo Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed huko katika Wizara ya Afya Mnazi mmoja amesema vifaa hivyo vitasaidia kutoa huduma mbali mbali za matibabu pamoja na kupambana na ugonjwa wa corona nchini. Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vitanda 36, mashuka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani