Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE WA UPAKO ASAKWA, ADAIWA KUTISHA KUMUUA MUUMINI WA GWAJIMA

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah LILE sakata la Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo – Kibangu, Dar, Lusekelo Anthon ‘Mzee wa Upako’ kufyatua risasi mtaani limechukua sura mpya baada ya  kijana aliyejitambulisha kwa jina la Robert  Lugala, mkazi wa Kibangu kuibuka na kudai alitishiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na mchungaji huyo. Kijana anayejitambulisha kwa jina la Robert  Lugala,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Asakwa kwa kumuua kaka yake

WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...

 

10 years ago

GPL

MUUMINI WA NABII MWINGIRA ADAIWA KUTELEKEZA MKE, KISA KAKATWA MGUU

Na Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Uwazi
Kweli Dunia imefikia ukingoni! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Josephine Singano mkazi wa Mburahati jijini Dar, amemlalamikia mumewe, Ruwaichi Wilson Manyanga maarufu kama Dk. Manyanga ambaye ni kiongozi wa huduma ya maombezi iitwayo Shalom ya Kanisa la Efatha lililopo chini ya Mchungaji Josephat Mwingira, kwa kumtelekeza. Mke wa Ruwaichi Wilson, Josephine Singano (anayelia...

 

10 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO: NILISHIRIKIANA...

Brighton masalu
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kushirikiana na waganga wa kienyeji kujipatia pesa kwa njia ya utapeli wakati akifanya biashara ya madini ya rubi. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’. Akizungumza katika ibada maalum hivi karibuni kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini Dar, Lusekelo alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima asakwa na polisi kwa kumkashifu Pengo

GWAJIMANa Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,limemtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kujisalimisha polisi kwa tuhuma za kumkashifu Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Hatua hiyo ya polisi imekuja baada ya jeshi hilo kupokea malalamiko, ambapo inadaiwa Mchungaji Gwajima alitoa lugha ya kashfa dhidi ya Kardinali Pengo ambaye alipinga tamko lililotolewa na Jumuiya ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee wa Upako awakemea wanaharakati

WANAHARAKATI wanawake nchini wametakiwa kuwaheshimu waume zao na kuelewa kuwa mwanamume ni kichwa cha familia. Akizungumza katika kipindi chake cha Tutashinda kinachorushwa hewani na kituo cha runinga cha Channel Ten...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO ATESWA NA MISUKULE

stori: waandishi Wetu MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ (pichani) naye ameibuka na kucharukia suala hilohilo. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ akifafanua jambo. Akizungumza na Uwazi...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4


KUSEMA MIMI NI TAJIRI WA KUTISHA NI KUNIONEA! Mpenzi msomaji wiki iliyopita tuliendelea na simulizi hii tamu ya MJUE HUYU ambapo mhusika mkuu ni Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako.
Baada ya kusimulia historia ya maisha yake, Mzee wa Upako aliishia pale alipokuwa akifafanua kwa nini hajiiti nabii wala mtume kisha akazama kwenye kusimulia juu ya huduma na makanisa ya kiroho. UNGANA...

 

11 years ago

GPL

UUJUMBE WA KUMTISHIA MAISHA MZEE WA UPAKO

SIKU chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Mhando kunusurika kutekwa, ujumbe wa tishio la kuuawa kwa Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ umesambazwa. Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’akisisitiza jambo Ujumbe huo ambao ulitumwa na mtu aliyejitambulisha kama msamaria mwema, ulisambazwa kwa watu mbalimbali mpaka kuwafikia mapaparazi wetu, unaeleza kwamba...

 

11 years ago

GPL

FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO

Stori: Jelard Lucas
ULE uvumi kwamba baadhi ya wachungaji na maaskofu wa makanisa ya kiroho  nchini wanajihusisha na imani ya Freemason unazidi kushika kasi huku awamu hii ‘rungu’ likimwangukia Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ na kutikisika, Uwazi lina cha kusema. MINONG’ONO ILIVYOANZA
Madai ya mtumishi huyo kujihusisha na imani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani