Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4


KUSEMA MIMI NI TAJIRI WA KUTISHA NI KUNIONEA! Mpenzi msomaji wiki iliyopita tuliendelea na simulizi hii tamu ya MJUE HUYU ambapo mhusika mkuu ni Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako.
Baada ya kusimulia historia ya maisha yake, Mzee wa Upako aliishia pale alipokuwa akifafanua kwa nini hajiiti nabii wala mtume kisha akazama kwenye kusimulia juu ya huduma na makanisa ya kiroho. UNGANA...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4

KUSEMA MIMI NI TAJIRI WA KUTISHA NI KUNIONEA! Mpenzi msomaji wiki iliyopita tuliendelea na simulizi hii tamu ya MJUE HUYU ambapo mhusika mkuu ni Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako. Baada ya kusimulia historia ya maisha yake, Mzee wa Upako aliishia pale alipokuwa akifafanua kwa nini hajiiti nabii wala mtume kisha akazama kwenye...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI LUSEKELO ‘MZEE WA UPAKO’ AZALIWA IRINGA, AMKATALIA BABA’KE KUHAMIA MBEYA!

Mpenzi msomaji karibu kwenye safu hii mpya ya MJUE HUYU ambayo lengo lake ni kukupa simulizi ya kweli ya maisha ya mtu maarufu au staa kutoka katika tasnia, sekta na huduma mbalimbali kwenye jamii. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Lusekelo Antony. Maombi yenu mengi kwenye msimu huu yameangukia kwa Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu...

 

10 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO: NILISHIRIKIANA...

Brighton masalu
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kushirikiana na waganga wa kienyeji kujipatia pesa kwa njia ya utapeli wakati akifanya biashara ya madini ya rubi. Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’. Akizungumza katika ibada maalum hivi karibuni kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini Dar, Lusekelo alisema...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO ATESWA NA MISUKULE

stori: waandishi Wetu MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ (pichani) naye ameibuka na kucharukia suala hilohilo. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ akifafanua jambo. Akizungumza na Uwazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee wa Upako awakemea wanaharakati

WANAHARAKATI wanawake nchini wametakiwa kuwaheshimu waume zao na kuelewa kuwa mwanamume ni kichwa cha familia. Akizungumza katika kipindi chake cha Tutashinda kinachorushwa hewani na kituo cha runinga cha Channel Ten...

 

11 years ago

GPL

FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO

Stori: Jelard Lucas
ULE uvumi kwamba baadhi ya wachungaji na maaskofu wa makanisa ya kiroho  nchini wanajihusisha na imani ya Freemason unazidi kushika kasi huku awamu hii ‘rungu’ likimwangukia Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ na kutikisika, Uwazi lina cha kusema. MINONG’ONO ILIVYOANZA
Madai ya mtumishi huyo kujihusisha na imani ya...

 

11 years ago

GPL

UUJUMBE WA KUMTISHIA MAISHA MZEE WA UPAKO

SIKU chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Mhando kunusurika kutekwa, ujumbe wa tishio la kuuawa kwa Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ umesambazwa. Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’akisisitiza jambo Ujumbe huo ambao ulitumwa na mtu aliyejitambulisha kama msamaria mwema, ulisambazwa kwa watu mbalimbali mpaka kuwafikia mapaparazi wetu, unaeleza kwamba...

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO

Na Mwandishi Wetu
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’ Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila...

 

11 years ago

GPL

MZEE WA UPAKO: NILIPIGWA KWA WIZI WA PESA

Stori: Jelard Lucas
MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa kwa wizi wa pesa. Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’. Mtumishi huyo wa Mungu ambaye hujiita Super Charge, alisema aliwahi kujikuta katika wakati mgumu baada ya kupokea kichapo cha kufa mtu kutoka kwa baba yake mzazi Mzee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani