MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO
![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAGSNF94k*aJQMp*ielpk8g5d8k6HV5aBVULbsiohRyWq**lhEXx4SzZG82XGOP6YOI285BL9tHo1-lP7bekZloG/LuluMama.gif)
Na Mwandishi Wetu Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’ Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N7ugf1BZrZfBHKopKBr3GD0cER8KyYedM9RzXHnRH9FCIyv6dy75Wl9p-gPM4JK94f5zuPmWVeGPRVqTJik1SvE/MZEE2.jpg?width=650)
MZEE WA UPAKO: NILIPIGWA KWA WIZI WA PESA
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEukdmOf9in9TO5VV7VHm1CKnqiMjpjy05SKGetCIwA3MyoKtOtQAatvoai1iR1LkS1RuacWsGQqu*3YvOgUehaN2/HJUUUUU.jpg)
MZEE WA UPAKO: NILISHIRIKIANA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-5-SjmVAvstmZz39iRmm*bS3Rd56UlLsWekLnC*QnX4TaPJwTMaZ4uW55FDLRe3lmZIP-Wy2FUtoludUu1eAqFf/mzee.jpg)
MZEE WA UPAKO ATESWA NA MISUKULE
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Mzee wa Upako awakemea wanaharakati
WANAHARAKATI wanawake nchini wametakiwa kuwaheshimu waume zao na kuelewa kuwa mwanamume ni kichwa cha familia. Akizungumza katika kipindi chake cha Tutashinda kinachorushwa hewani na kituo cha runinga cha Channel Ten...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlomvRMBRekzmvC5XKCDaFq3WPF7JLuNNrSuBsOiS*pr*hM0Xko0hdUoHuH2wQsEOfyrKVBQmf1l-I-oQ4gu0l3P-/FREEMASON.jpg?width=650)
FREEMASON WALITIKISA KANISA LA MZEE WA UPAKO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qjc8Lo-PVZt-zlALp8NuC-og8e-ATja2jQhkqQmMkxIgmWBo*j5ReTKr8vr3*LRM-ISyHiCVKRQD-Y3dA8iNuPw/upako.jpg?width=650)
UUJUMBE WA KUMTISHIA MAISHA MZEE WA UPAKO
10 years ago
Vijimambo03 Jul
MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO‘MZEE WA UPAKO’ -4
![](http://api.ning.com/files/cFSv-yJm2DRtlvEbMO95kObmeJBGpPf0l7I-A6ADG4POAA6laNgAtivyzfMB1XJifdRT2whquLrM5FrrXd6rOWF3F2-86pYS/ab.jpg?width=650)
KUSEMA MIMI NI TAJIRI WA KUTISHA NI KUNIONEA! Mpenzi msomaji wiki iliyopita tuliendelea na simulizi hii tamu ya MJUE HUYU ambapo mhusika mkuu ni Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) lenye makao yake makuu Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako.
Baada ya kusimulia historia ya maisha yake, Mzee wa Upako aliishia pale alipokuwa akifafanua kwa nini hajiiti nabii wala mtume kisha akazama kwenye kusimulia juu ya huduma na makanisa ya kiroho. UNGANA...