MUUMINI WA NABII MWINGIRA ADAIWA KUTELEKEZA MKE, KISA KAKATWA MGUU
![](http://api.ning.com:80/files/N3a4E7n0BncM2zmRmAWHOSKImLG1b8cf1*8zm2qeMtIvkDBvgD7A7q*mpS9no4n7ziOXq4QShKexne6XxV4BHGuEePu16MaB/m.jpg)
Na Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Uwazi Kweli Dunia imefikia ukingoni! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Josephine Singano mkazi wa Mburahati jijini Dar, amemlalamikia mumewe, Ruwaichi Wilson Manyanga maarufu kama Dk. Manyanga ambaye ni kiongozi wa huduma ya maombezi iitwayo Shalom ya Kanisa la Efatha lililopo chini ya Mchungaji Josephat Mwingira, kwa kumtelekeza. Mke wa Ruwaichi Wilson, Josephine Singano (anayelia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLpkkR48mQhJRf7*i05N0tjIvPxIS21ijpLKsHvfQtk24*Ns9LjI-iF5ODDZZkwVSyRSoJ67ofAOWK0IgmLbATgP/Back.jpg?width=650)
MCHUNGAJI ADAIWA KUTELEKEZA MKE
10 years ago
Mtanzania02 Jan
Nabii Mwingira amtabiria Nyalandu ukuu
Na Ratifa Baranyikwa, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya kutangaza kujitosa rasmi kuwania ukuu wa dola, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameadhimisha sherehe za mwaka mpya wa 2015 katika Kanisa la Efatha huku Mchungaji wa Kanisa hilo, Josephat Mwingira, akimtabiria ushindi wa safari aliyoianza.
Zaidi Mwingira alisema neno hilo ni la kinabii na kusisitiza hakuna wa kumzuia Nyalandu kwa sababu ukuu umeamriwa juu yake.
Katika ibada hiyo ya mkesha wa mwaka mpya ambayo Nyalandu...
10 years ago
Habarileo30 Oct
SMS ya nabii yavunja ndoa ya muumini wake
UJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa kimapenzi ambao ulitumwa kutoka simu inayomilikiwa na kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii Geor David Kasambala kwenda kwa mke wa muumini wa kanisa hilo umesababisha ndoa kuvunjika. Mwanamke aliyetumiwa SMS na nabii huyo ni Pamela Godfrey, mke wa Wilson Lota, wote waumini wa kanisa linaloongozwa na Nabii Geor David.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
DC adaiwa kutelekeza watoto Brazil
WACHEZAJI sita wa ‘The Dream Team’ mkoani hapa waliofanikiwa kupata nafasi na kutimiza masharti ya kupelekwa nchini Brazil kushuhudia mechi za Kombe la Dunia wamekumbana na adha baada ya kulazwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmnEv36DIkJa51seaOd*5TxVGHfyfcHf37cvJvXq686YFkh-CF9pTP6T2kxfIBUGeGLJU7xdJRVxoRrS9Pofdczz/mzee.jpg)
MZEE WA UPAKO ASAKWA, ADAIWA KUTISHA KUMUUA MUUMINI WA GWAJIMA
10 years ago
Vijimambo20 Nov
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRafRkZ3HYtMnq7QoJSC3dzCCCqudq4F0UyuL9Mk-Zh6y1To-7B0TEzNA10eFnSOc547R0PkkP5sqX89kNfbS0BG/mguu.jpg?width=650)
AOZA MGUU, KISA AJALI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPi6L2CK2xPMdTr5pbIxwDoSAts-nBBDU5k1H5-qxzFgy58FQHDAYjsFTXuQd3*LPghJrqbLC*VD0ZryVLLG1VRw/wivu.jpg)
KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!
11 years ago
Mwananchi01 Mar
UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali