UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali
>“Ni zaidi ya miezi sita tangu nifanyiwe ukatili na mume wangu na mama mkwe. Nahangaika kuuguza mguu niliokatwa kwa panga kunyunyiziwa maji ya betri. sijui kama utapona. Kichanga nacho kinasumbua, jamani nimekosa nini mimi kwa Mungu.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Sheikh amwagiwa tindikali
IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Sheikh amwagiwa tindikali Arusha
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Sheikh amwagiwa tindikali Songea
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Kada wa CCM amwagiwa Tindikali Tarime
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Sheikh mwingine amwagiwa tindikali Arusha
MWALIMU wa dini Msikiti Mkuu wa Bondeni, Mustapha Kihago (49) na mwanae Khalid Mustafa (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali sehemu za usoni na shingoni. Sheikh huyo ambaye ni wa...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Mmiliki wa duka la M-Pesa amwagiwa tindikali
MKAZI wa eneo la Ghana, jijini Mwanza, Mustafa Omary (38) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akiwa dukani kwake.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/M4LfoYBWZVU/default.jpg)
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Wastara Akatwa Mguu!
Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji mwingine wa kukatwa tena mguu kufuatia uvimbe uliojitokeza kwenye mguu wake wa bandia uliomnyima raha kwa muda mrefu.
TUJIUNGE NA CHANZO JIJINI NAIROBI
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichoambatana na mwigizaji huyo jijini Nairobi, Kenya katika matibabu, staa huyo alifikia hatua ya kwenda hospitali baada ya kuzidiwa na maumivu makali...