Kada wa CCM amwagiwa Tindikali Tarime
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana Chadema kata ya Sirari na kuhamia chama cha CCM, Weng’ari Mang’era (26) amemwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati wakimpokea mgombea ubunge wa Tarime Vijijini(CCM), Christopher Kangoye katika uwanja wa Tarafa Sirari Wilayani Tarime.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Sheikh amwagiwa tindikali
IMAMU wa Msikiti wa Sawiyatu Qadiria, Hassan Bashir (33) amejeruhiwa vibaya usoni na sehemu ya bega la kushoto baada ya kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali. Akizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Sheikh amwagiwa tindikali Arusha
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Sheikh amwagiwa tindikali Songea
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Sheikh mwingine amwagiwa tindikali Arusha
MWALIMU wa dini Msikiti Mkuu wa Bondeni, Mustapha Kihago (49) na mwanae Khalid Mustafa (10), wamemwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa ni tindikali sehemu za usoni na shingoni. Sheikh huyo ambaye ni wa...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Mmiliki wa duka la M-Pesa amwagiwa tindikali
MKAZI wa eneo la Ghana, jijini Mwanza, Mustafa Omary (38) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akiwa dukani kwake.
11 years ago
Mwananchi01 Mar
UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/M4LfoYBWZVU/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Dk Mahiga kada wa 25 urais CCM