Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AOZA MGUU, KISA AJALI

Na Gabriel Ng’osha AMA kweli ng’ombe wa maskini hazai, kijana Peter  Sitiwati (26), mkazi wa Sinza ya Kwaremmy jijini Dar amejikuta akikatisha ndoto za utafutaji maisha kufuatia kuoza mguu baada ya ajali mbaya ya gari.
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzikati kwa sauti ya kukata tamaa, Peter alisema alipata ajali ya gari mwaka 2013 maeneo ya Sinza-Mori, Dar na kuumia vibaya mguu wa kulia. kijana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KISA WIVU MUME AMFYEKA MGUU MKEWE!

Stori:Gladness Mallya
Maumivu ya kufa! Akiwa ananyonyesha kichanga wake, dakika chache mwanamama Neema Iwena hakujua kama angenusurika kufa baada ya kukatwa shingoni, kichwani kisha kufyekwa mguu wa kulia na mumuwe, Victor Nzali, kisa kikidaiwa ni wivu wa kimapenzi. Mwanamama Neema Iwena aliyekatwa mapanga na mumuwe, Victor Nzali.
Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo la kutisha, kusikitisha na la ukatili wa kijinsia...

 

10 years ago

GPL

MUUMINI WA NABII MWINGIRA ADAIWA KUTELEKEZA MKE, KISA KAKATWA MGUU

Na Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Uwazi
Kweli Dunia imefikia ukingoni! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Josephine Singano mkazi wa Mburahati jijini Dar, amemlalamikia mumewe, Ruwaichi Wilson Manyanga maarufu kama Dk. Manyanga ambaye ni kiongozi wa huduma ya maombezi iitwayo Shalom ya Kanisa la Efatha lililopo chini ya Mchungaji Josephat Mwingira, kwa kumtelekeza. Mke wa Ruwaichi Wilson, Josephine Singano (anayelia...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

9 years ago

Mtanzania

Kisa mapaparazi, Kylie apata ajali

kylie-jennerLOS ANGELES, MAREKANI

MPENZI wa mkali wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Tygar, Kylie Jenner, amesema hana urafiki na waandishi wa habari nchini humo kwa kuwa walimsababishia ajali.

Mrembo huyo amesema hana amani kila akiwa katika matembezi yake ya kawaida kwa kuwa waandishi wa habari wanamzonga mara kwa mara.

Hata hivyo, mwezi uliopita alikutana na waandishi wa habari akaanza kuwakimbia na gari yake na kusababisha ajali wakati anawakimbia waandishi hao.

“Siwezi kuwa na urafiki na...

 

10 years ago

GPL

MNIGERIA AOZA PENZI LA JOKATE

Stori:  Hamida Hassan na Gladness Mallya
Kutoka moyoni! ‘Ubuyu’ mpya mjini ni madai ya staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akilitamani penzi la staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. Staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akiwa na staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. MNIGERIA ABEMBELEZA
Habari kutoka kwa...

 

11 years ago

GPL

DENTI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI

Na Mwandishi Wetu
MWANAFUNZI au ‘denti’ wa kike,13, ( jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la tano katika shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda ambaye ni dereva wa bodaboda. Akizungumza kwa shida kutokana na maumivu makali aliyonayo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, denti huyo alisema kwamba mkasa huo ulimpata Novemba 19,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfanyabiashara wa madini apata ajali mbaya ya gari lake iliyopelekea kupasuka kichwa na kufariki papo hapo, kisa mwendo kasi

gari

Gari lililokuwa limebeba mwili wa mfanyabiashara wa madini ya Coper Henrico Kairuki likiwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.

Na Hillary Shoo, MKALAMA.

Mfanyabiashara wa madini aina ya Shaba Mkoani Singida amefariki dunia papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari dogo alilokuwa akiendesha kuacha njia na kisha kupinduka mara tatu.

Ajali hiyo mbaya imetokea katika kijiji cha Gumanga Tarafa ya Nduguti Wilayani Mkalama majira ya saa 9:00 alasiri na kulihusisha gari dogo aina ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Akatwa Mguu!

Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji mwingine wa kukatwa tena mguu kufuatia uvimbe uliojitokeza kwenye mguu wake wa bandia uliomnyima raha kwa muda mrefu.

TUJIUNGE NA CHANZO JIJINI NAIROBI

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichoambatana na mwigizaji huyo jijini Nairobi, Kenya katika matibabu, staa huyo alifikia hatua ya kwenda hospitali baada ya kuzidiwa na maumivu makali...

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga mguu sawa

TIMU za Simba na Yanga zimetamba sasa zimeimarika baada ya wachezaji wao kurejea nchini wakitokea Ethiopia walikokuwa katika michuano ya Kombe la Chalenji. Wakizungumza kwa nyakati tofauti makocha wa timu hizo walisema wanaamini kuanzia leo wachezaji hao watakuwa wamejiunga na vikosi vyao na maandalizi yatakuwa yamekamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani