MNIGERIA AOZA PENZI LA JOKATE
![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOqVa2lSzWDgaDbobnDCeEitbYcy-X*vNav0C2pTAk8WUwTnT4AWNMTZ54YpbrslGIa2bFML-Td3HWx*hzta25Ml/jokate.jpg)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Kutoka moyoni! ‘Ubuyu’ mpya mjini ni madai ya staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akilitamani penzi la staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. Staa wa muziki wa Nigeria, Panshak Zamani ‘Ice Prince’ kuoza akiwa na staa wa Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. MNIGERIA ABEMBELEZA Habari kutoka kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRafRkZ3HYtMnq7QoJSC3dzCCCqudq4F0UyuL9Mk-Zh6y1To-7B0TEzNA10eFnSOc547R0PkkP5sqX89kNfbS0BG/mguu.jpg?width=650)
AOZA MGUU, KISA AJALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RjXmK94uKzXzKmhFiQb57DMkA6kWAomw8AkiLbXQN2iBTA-OJ3eBeN0WvaBxtuYpmgrndvV7h5UVMFIGWtddP0/denti.jpg?width=650)
DENTI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI
10 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...
5 years ago
MichuziWAZIRI JAFO AAGIZA SHULE ILIYOJENGWA NA DC JOKATE IITWE JOKATE GIRLS SEKONDARI, ASIFU UTENDAJI WAKE
Moja ya jengo jipya na la kisasa la Shule ya Sekondari ya Wasichana Jokate Girls iliyopo Kata ya Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani ambayo linavyoonekana.Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemen Jafo amefanya ziara ya kutembelea shule hiyo kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.
Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemen Jafo akizungumza jana baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya bweni ya...
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Tineja Mnigeria kupokonywa dhahabu
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mnigeria kizimbani dawa za kulevya
RAIA wa Nigeria, Anthony Okafor (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 124.4.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdHgkgXK7dc4WpW5sPfrIdwgHIj*z2zHp1w9MXkuCmEtIOTCrmu4QN7kIKEGmeP87wICy6qRszf0xmreZbGd9kj/masoogange.jpg)
MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mnigeria atwaa ubingwa wa dunia wa Scrabble