Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI

Stori: Sifael Paul na Imelda Mtema Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara raia wa Nigeria. Video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’. MWANAUME KAMWINGIZA MKENGE?
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASOGANGE AHAMIA SAUZI

VIDEO Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’ amehamia nchini Afrika Kusini ‘sauzi’ kwa ajili ya kutafuta maisha. Akipiga stori na paparazi wetu, Masogange alisema ameamua kuhamia nchini humo ambapo ndipo atakapokuwa akiishi maisha yake yote na Tanzania atakuwa anakuja kutembea tu. Video Queen matata Bongo, Agness Jelard ‘Masogange’. “Nimeamua hivyo kwani nahisi huku ndiy  o...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE ATANGAZIWA NDOA SAUZI

Stori: Musa Mateja Modo Agnes Masogange ameonekana kumdatisha mwanaume aliyefahamika kwa jina la Louis Donald wa nchini Afrika Kusini baada ya jamaa huyo kuposti mtandaoni picha tofauti akiwa amepozi kimahaba na Agnes na kueleza kuwa, huyo ndiye mke wake wa kufa na kuzikana. Modo Agnes Masogange. Jamaa huyo amekuwa akieneza habari kuwa, Masogange ni ‘mtu’ wake kitendo kilicholifanya Ijumaa ambalo awali lilikuwa na...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: JE UNAHITAJI PASIPOTI, HII NI NAMNA NYEPESI YA KUPATA PASIPOTI.

Na Bashir YakubYapo mambo  ambayo huwaumiza  watu vIchwa  yumkini  yakiwa   ni mambo madogo na ya kawaida.  Tatizo mara nyingi  huwa ni taarifa. Taarifa  zikimfikia  mtu ndipo huhisi jambo  ambalo alikuwa halijui  kuwa ni jepesi. 
Lakini kabla  ya taarifa mtu  huendelea kufikiria jambo hilo kwa ugumu. Katika kipindi kama hiki kuwa na kitu kama pasipoti si jambo la  anasa  au ufahari tena isipokuwa ni jambo  ambalo limeishaingia katika matumizi ya kawaida   ya kila siku ya walio wengi. Hii ni...

 

9 years ago

Michuzi

JK AMPATIA BAJAJI MWANAFUNZI MLEMAVU HAROUB SOUD MZEE

 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Bw. Haroub Soud Mzee ambaye ni  mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Bw. Mzee  ni mwanafunzi wa Uhasibu mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Kampala University jijini Dar es salaamRais Jakaya Kikwete akisoma maelezo ya kadi ya bajaji aliyemkabidhi. Haroub Soud Mzee ambaye ni  mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Picha na Magreth Kinabo -...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMPATIA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO MIRIAM WA MOMBO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi  Miriam Shemndolwa  ambaye ni mlemavu msaada wa Sh. 5, 000,000 ili pamoja na michango mingine zisaidie ujenzi wa nyumba ya kuishi Miriam na Bibi yake mlezi,  Eonica Hiza  (katikati). Waziri Mkuu alimtembelea  Miriam nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Miriam Shemndolwa  ambaye ni mlemavu wakati alipomtembelea nyumbani kwao Mombo wilayani Korogwe,...

 

11 years ago

Habarileo

Wanaopoteza pasipoti 'kukamuliwa’ zaidi

KATIKA kukabiliana na wimbi la ongezeko la upotevu wa hati za kusafiria, Serikali kupitia Idara ya Uhamiaji nchini imesema imelazimika kupandisha kiwango cha ada za maombi mapya kwa waliopoteza hati hizo.

 

10 years ago

Vijimambo

GLADNESS MARTIN BRUS PASIPOTI YAKO NA VITAMBULISHO VINGINE VIMEOKOTWA


BI GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO SALAMA.
YEYOTE ANAE MFAHAMU MHUSIKA AME TAARIFA AFIKE OFISI YA MTENDAJI KATA-TABATA MSIMBAZI SOKONI, ATAKABIDHIWA. 

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583 

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA MAOMBI YA PASIPOTI KWA WATANZANIA NCHINI ITALI LAENDELEA

Maofisa wa Uhamiaji kutoka Dar Es Salaam na Zanzibar wameanza zoezi la kupokea maombi ya pasipoti kutoka kwa Watanzania waliopo nchini Italy. Maofisa hao wanategemewa kuelekea katika nchi za Turkey na Greece,kwa ajili ya zoezi hilo hilo.
 Haya ni matunda ya Kamati ya Diaspora iliyokutana na Mh Balozi James Alex Msekela, mwezi juni mwaka huu. Kamati ilikutana na balozi na maofisa wa juu wa kibalozi kwa ajili ya kutambulisha kamati na uongozi wake,na pia kuwakilisha kero na matatizo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani