Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA ZOEZI LA PASIPOTI KATIKA MIJI YA WICHITA NA KANSAS CITY.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA SHINA JIPYA LA CCM NDANI YA JIJI LA VIONGOZI WICHITA, KANSAS

Mratibu wa Matawi ya CCM Marekani Loveness Mamuya aliwaomba wanaCCM Wichita wawe mfano bora Kwa kujitokeza kwenye jumuiya ya TaWichita kwani Jumuiya ni kwanza na kuwaomba waweze kupendana na kushirikiana kwanza kama watanzania. Tumefungua matawi tukiwa na niya ya kukutanisha watanzania ili waweze kuchangia maendeleo ya Nchi yetu. Chama Cha Mapinduzi kinatambuwa jamii ya watanzania na ushirikano wao. Pia aliwaomba watu wajiunge na jumuiya kwanza na kushirikiana kwa karibu na vilevile kukemea...

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA MAOMBI YA PASIPOTI KWA WATANZANIA NCHINI ITALI LAENDELEA

Maofisa wa Uhamiaji kutoka Dar Es Salaam na Zanzibar wameanza zoezi la kupokea maombi ya pasipoti kutoka kwa Watanzania waliopo nchini Italy. Maofisa hao wanategemewa kuelekea katika nchi za Turkey na Greece,kwa ajili ya zoezi hilo hilo.
 Haya ni matunda ya Kamati ya Diaspora iliyokutana na Mh Balozi James Alex Msekela, mwezi juni mwaka huu. Kamati ilikutana na balozi na maofisa wa juu wa kibalozi kwa ajili ya kutambulisha kamati na uongozi wake,na pia kuwakilisha kero na matatizo ya...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: JE UNAHITAJI PASIPOTI, HII NI NAMNA NYEPESI YA KUPATA PASIPOTI.

Na Bashir YakubYapo mambo  ambayo huwaumiza  watu vIchwa  yumkini  yakiwa   ni mambo madogo na ya kawaida.  Tatizo mara nyingi  huwa ni taarifa. Taarifa  zikimfikia  mtu ndipo huhisi jambo  ambalo alikuwa halijui  kuwa ni jepesi. 
Lakini kabla  ya taarifa mtu  huendelea kufikiria jambo hilo kwa ugumu. Katika kipindi kama hiki kuwa na kitu kama pasipoti si jambo la  anasa  au ufahari tena isipokuwa ni jambo  ambalo limeishaingia katika matumizi ya kawaida   ya kila siku ya walio wengi. Hii ni...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA KANSAS CITY USA NA TANZANIA

FAMILIA YA ELISA NA ADELITA NYITI WA KILUVYA/KIBAHA TANZANIA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO EMMANUEL NYITI. KILICHOTOKEA KANSAS CITY USA, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 06/20/2015.

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU
Emmanuel Elisa Nyiti (pichani) alizaliwa March 21, mwaka 1973 mkoani Dar es Salaam Tanzania kabla ya mauti kumfikia Juni 20 mwaka 2015.

Elimu ya awali aliipata katika shule ya msingi Kibaha na baadaye akajiunga na shule ya sekondari Kibaha kutoka mwaka 1987 mpaka 1990.

Baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

HABARI NJEMA KWA WAKAZI WA DALLAS, OMAHA NA KANSAS CITY

https://scontent-dfw1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/t31.0-0/p480x480/12140118_511185279057235_8578651045244488418_o.jpgNapenda kuwajulisha Watanzania waishio Dallas, Omaha, na Kansas City kwamba kutatolewa seminars ambazo zitatoa fukrusa ya kujiendeleza katika elimu ya kibiashara. Kama unatarajia kuanziasha biashara yako kwa siku za karibuni au ndio kwanza umeanza biashara yako; basi kuna umuhimu wa kupata mwamko/elimu zaidi juu ya uanzishaji na uendeshaji wa biashara katika viwango vya juu. Elimu hii ni muhimu kwa watarajiwa ili kuanzisha biashara zenye ujasiri na ufanisi zaidi katika hatua za kupambana na...

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI

Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani  onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.Diamond Platnumz akiendelea na makamuzi ndani huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa Kansas City na wenggine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya jirani.Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza pamoja nae wakati prezda wa wasafi akiendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani