YAMOTO BAND KUKINUKISHA KANSAS CITY MAREKANI NOVEMBER 27
![](http://3.bp.blogspot.com/-L3RuoOMgstw/VePGI_IX6WI/AAAAAAAATa8/YgNI1qXnAzU/s72-c/YAMOTO%2BKANSAS%2BFiinal.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND KUPIGA SHOW MBILI KABAMBE NDANI YA "USA" NOVEMBER 28 -HOUSTON TX | DECEMBER 5 -WASHINGTON DC !!
11 years ago
MichuziDIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aEXo2lUruHY/default.jpg)
9 years ago
Bongo514 Dec
Picha: Jinsi vijana wa Yamoto Band walivyotakata kufuatia ziara ya Marekani
![Cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Cover-300x194.jpg)
Upepo wa Marekani unapuliza sabuni kabisa nini? Wiki moja tu vijana wa Yamoto Band wametakata tayari.
Meneja wa kundi hilo, Said Fella ametutumia picha za vijana hao wakiwa kwenye mitaa ya Marekani baada ya kumalizika kwa ziara yao na unaweza kugundua namna walivyobadilika ghafla.
Fella ameiambia Bongo5:
Vijana wa ya moto band tour USA jana wamemaliza show ya tatu Katika jiji la Houston, Texas kesho wanarejea nchini Jumamosi watakuwa Dar Live Mbagala kumkaribisha kijana waliomtuma BSS na...
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!
Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]
The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One
#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!
Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhwoiKaCakAm-vHV38cC1rdR*Z4vdh6nNKhZbzSVGd0Aa1TnzQaH2lT15jv8cXlaHhtxx2guhWQ*NaKtYQdFMTnQ/ngomaafrica_wordpress34TubingenFestival2014.jpg?width=650)
NGOMA AFRICA BAND KUKINUKISHA AUSTRIA JULAI 5, 2015