Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Jinsi vijana wa Yamoto Band walivyotakata kufuatia ziara ya Marekani

Cover

Upepo wa Marekani unapuliza sabuni kabisa nini? Wiki moja tu vijana wa Yamoto Band wametakata tayari.

Cover

Meneja wa kundi hilo, Said Fella ametutumia picha za vijana hao wakiwa kwenye mitaa ya Marekani baada ya kumalizika kwa ziara yao na unaweza kugundua namna walivyobadilika ghafla.

20151214043100

Fella ameiambia Bongo5:

Vijana wa ya moto band tour USA jana wamemaliza show ya tatu Katika jiji la Houston, Texas kesho wanarejea nchini Jumamosi watakuwa Dar Live Mbagala kumkaribisha kijana waliomtuma BSS na...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Utambulisho wa Yamoto Band wilaya ya Temeke

Weekend iliyopita, Mkubwa na Wanawe walikuwa wakitambulisha bendi yao (Yamoto Band) katika wilaya yao ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Dar Live. Hizi ni picha za tukio hilo. Chege akiwapa sapoti wadogo zake Chege na Temba <img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Wema-Sepetu-akiwasalimia-mashabiki-walio-fika.jpg" alt="Wema Sepetu akiwasalimia mashabiki walio fika" width="759" height="506" class="alignnone size-full wp-image-

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha zote za show ya Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo. Picha zaidi Ingia www.harakatizabongo.com

10386934_828991617161297_1265181723487925171_o

 

9 years ago

MillardAyo

Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !!

Baada ya Yamoto Band kumaliza ziara ya Show zao za Marekani wamerudi Bongo na kwa mara ya kwanza baada ya kurudi Tanzania, wameamua kuanza kwa kudondosha burudani ya nguvu katika uwanja wa taifa wa burudani Dar Live Mbagala, Yamoto Band walipiga Show usiku wa December 19 huku wakipewa sapoti na mshindi wa BSS Kayumba pamoja […]

The post Pichaz za Show ya kwanza ya Yamoto Band Dar Live baada ya kutoka Marekani, Kayumba wa BSS na Baby J ndani !! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

10 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!

DSC_0437

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.

DSC_0429

Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.

DSC_0424

Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.

DSC_0427

Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.

DSC_0434

 Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...

 

10 years ago

Dewji Blog

SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One

#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!

IMG-20140829-WA0001

Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo

IMG-20140829-WA0002

IMG-20140829-WA0000

 

9 years ago

We Were Not Bribed By Diamond

Yamoto Band


Yamoto Band - We Were Not Bribed By Diamond
AllAfrica.com
Famous Tanzanian band Yamoto has refuted reports that it was "bribed" by Diamond Platnumz to release a dis-track for his ex-girlfriend Wema Sepetu. During an interview with Word Is in Mombasa last week, the young crooners said that it was purely their ...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani