Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yamoto Band


Yamoto Band - We Were Not Bribed By Diamond
AllAfrica.com
Famous Tanzanian band Yamoto has refuted reports that it was "bribed" by Diamond Platnumz to release a dis-track for his ex-girlfriend Wema Sepetu. During an interview with Word Is in Mombasa last week, the young crooners said that it was purely their ...

We Were Not Bribed By Diamond

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!

DSC_0437

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.

DSC_0429

Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.

DSC_0424

Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.

DSC_0427

Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.

DSC_0434

 Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...

 

10 years ago

Dewji Blog

SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One

#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!

IMG-20140829-WA0001

Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo

IMG-20140829-WA0002

IMG-20140829-WA0000

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Music: Yamoto Band — Imo

Vijana wa Yamoto Band wamechia wimbo mpya unaitwa “Imo”. Umeataarishwa na Producer Fraga kutoka Uprise Music Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND LIVE IN LONDON

Vijana wa Yamoto Band siku ya 21 February 2015 waliweka Historia katika jiji la London wakiwa ni watanzania wa kwanza kufanya Live show kwenye ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na mamia ya wakaazi wa Jiji la London na vitongoji vyake. video hapo chini ni Kionjo tuu cha mambo yalivyokuwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Yamoto Band yapamba ‘Birthday’ ya Diamond

BENDI inayokuja kwa kasi katika muziki wa Dansi Ya Moto juzi, ilikonga nyoyo katika siku ya kuzaliwa ya msanii maarufu, Nasseb Abdul ‘Diamond’ iliyofanyika ukumbi wa Gorden Jubelee Tower, Jijini...

 

10 years ago

CloudsFM

Yamoto Band wanatamani mafanikio ya Diamond.

WASANII wa bendi ya Yamoto Band wameweka wazi kwamba hakuna msanii asiyependa kuwa na mafanikio kama ya Nasib Abdul (Diamond) anayezidi kung’ara katika muziki wake.

Kauli hiyo waliitoa jana walipotembelea Kampuni ya New Habari (2006) Ltd iliyopo Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, ambayo huchapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa, Dimba na The African. “Ukweli ni kwamba, hakuna asiyependa kuwa na mafanikio makubwa kama anayopata Diamond katika muziki na hali hiyo ndiyo inayotupa hamasa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Yamoto Band Ft Zena – Mama

Mama

Vijana wa Mkubwa na Wanawe TMK Yamoto Band wameachia single yao mpya inaitwa “Mama” wamemshirikisha Zena.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani