Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI

Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani  onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.Diamond Platnumz akiendelea na makamuzi ndani huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa Kansas City na wenggine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya jirani.Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza pamoja nae wakati prezda wa wasafi akiendelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU BIG BROTHER HOTSHOTS

Diamond Platnumz akifanya makamuzi ndani ya Big Brother Hotshots. STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano la Big Brother Hotshots unaofanyika jijini Johanessburg nchini Afrika Kusini. Katika shindano hilo, Tanzania inawakilishwa na watu wawili mrembo Irene 'La Veda' na Idriss. Jumla ya washiriki 26 kutoka mataifa 12 ya Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATNUMZ ATINGA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO, JIJINI KANSAS, MAREKANI

Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa kufanyika muda si mrefu katika anuani ya 8625 Troost Ave, Kansas City, Missouri.Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni www.gennmedia.com wengine ni Dj Romy...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATINGA NDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO‏ JIJINI KANSAS,MAREKANI

Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Bston (kulia)  Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati ajibu moja ya maswali waliyomuuliza.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria. Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI


 Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa nominated kwenye katagoli ya international collaboration. Mgeni wa...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.…

 

11 years ago

GPL

MAKAMUZI YA DIAMOND PLATNUMZ CALIFORNIA JUNI 28, 2014‏

 Diamond Platnumz mwanamuziki wa Bongo Fleva asiyeshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award'14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz alivyofanya makamuzi California Jumamosi hii

aJqvjF-KYDxpWDsgenB91QZQVv1Xb9kbW3GQFYU5ZSo,V2CQffLqZk05FaA1Ch2gAqYBUXqFm-4oK2YQT6zGyjI

Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.

f1akqHHcQZxSRUvudOhR2YsI0oVeWUzCWH2wxTC1MwM,DcgHne3HleJHs407hQnovbYbzbG02cnGWf5ffBjwdkc

Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award’14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani