DIAMOND PLATNUMZ ATINGA NDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO JIJINI KANSAS,MAREKANI
Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni wengine ni Dj Romy Jons Poromota DMK na Dj Bston (kulia) Dj Boston na AJ wakimsikiliza Diamond Platnumz wakati ajibu moja ya maswali waliyomuuliza.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi07 Jul
DIAMOND PLATNUMZ ATINGA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO, JIJINI KANSAS, MAREKANI
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Diamond Platnumz atinga ndani ya studio za Genn Online Radio
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa kufanyika muda si mrefu katika anuani ya 8625 Troost Ave, Kansas City, Missouri.
Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni www.gennmedia.com wengine ni Dj Romy...
11 years ago
MichuziDIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Gyl25AtTU0E/U2Jku4i0ItI/AAAAAAAANss/_ODM5Bz_hKU/s1600/diamondFlyer55.png)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-23zja8GOkxU/VVJ8n7lqcrI/AAAAAAAHW88/gaLMMN4-dBA/s72-c/11255206_824988637582252_128733885700260836_o.jpg)
ankal atembelea studio za tone online radio station
![](http://3.bp.blogspot.com/-23zja8GOkxU/VVJ8n7lqcrI/AAAAAAAHW88/gaLMMN4-dBA/s640/11255206_824988637582252_128733885700260836_o.jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO
10 years ago
Michuzi09 Mar
WEMA SEPETU ATEMBELEA STUDIO ZA RADIO 5 JIJINI ARUSHA
![SAM_1388](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/bNB4fGEUMkAbw-JmcuYrVn9RQ5cx9fQ0SsovZQ54oOmWWMY3-FgcdPFLJaLiZb6Mw1LvOGKGoiAmpCZqLzuOLQvAv4AVIXUiEFWj5eOYJ6Q1MO0=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/sam_1388.jpg)
Wema Sepetu akiwa ndani ya studio za Radio 5 jana mara baada yan kufanya ziara fupi mjengoni hapo akielezea pia kuhusu show yake ya black and white party iliyofanyika jana usiku tarehe 7/3/2015 jijini Arusha kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo hicho Wilfredy akiwa anafanya kipindi na mwanadada huyo, Wanaonekana pichani ni team Wema.(Habari Picha na Pamela Mlollel wa jamiiblog)
![SAM_1387](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/ifBySuS1_ijaxr0dtmdVV4XTJPGUIuNblAwbHIuZVbqBIdq1lGglEArRtl4d6RJzwuiSmI4969tLNfzfmdVP3J0MS4DHWjV8Mjg4GR-rWFapq0E=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/sam_1387.jpg)
Wema Sepetu akiwa anaeleza furaha yake yakuwepo jiji Arusha ambapo amesema jiji la Arusha ni miongoni mwa...