BALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO
Balozi Liberata Mulamula akiwasili nje ya jengo lenye studio ya Kilimanjaro tayari kuongea LIVE katika kipindi cha Jukwaa langu kinachorushwa kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 2 usiku saa za Mashariki za Marekanui. anayemfungulia mlango ni Abdul Malik
Balozi Liberata Mulamula akiingia ndani ya studio akiwa amesindikizwa makamu wa Rais wa Jumuiya ya DMV Bi. Harriet Shangarai (kushoto) ambaye pia ni Mkurugenzi wa studio hiyo, kulia ni Afisa Ubalozi Swahiba Mdeme na Abdul...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
BALOZI LIBERATA MULAMULA KUAGANA NA WANADIASPORA LIVE NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO JUMATATU

Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE
10 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
10 years ago
VijimamboMHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...
10 years ago
VijimamboPICTURE OF THE DAY BALOZI LIBERATA MULAMULA
10 years ago
Dewji Blog28 May
Rais Kikwete amwapisha Balozi Liberata Mulamula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Mei 27, 2015, amemwapisha Katibu Mkuu mpya, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Rutageruka Mulamula.
Aidha, katika sherehe fupi ya uapisho iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais Kikwete amemwapisha Balozi Hassan Simba Yahya kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo.
Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...
10 years ago
VijimamboWATANZANIA CALIFORNIA WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AWAAGA WATANZANIA MAREKANI
11 years ago
GPLKAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA