Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA‏

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Vijimambo yakutana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae...

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV‏

 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV  Wheaton, Maryland nchini Marekani hapa Mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea makamu wa Urais Bi. Salma Moshi na Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Watanzania anyaemaliza muda wake na ambaye pia anagombea tena nafasi hiyo. Mhe. Libarata Mulamula akisalimiana na kampeni… ...

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO‏

 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner itakayofanyika kesho Jumamosi April 19, 2014 na muziki kupigwa na Dj Luke kutoka DC ambaye tayari ameishatia timu na kusema pamoja na fundraising amekuja kuwapa mashabiki wake wa Ohio zawadi wa Pasaka. Fundraising itafanyikia Comfort...

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA ONYESHO LA PICHA ZA KUCHORA LA JAMBO, TANZANIA‏

Mariam Osher Mmarekani mchoraji aliyetembelea mbuga za wanyama Tanzania na kubuni uchoraji wa wanyama aliowaona huko Tanzania na kutumia michoro hiyo kuitangaza Tanzania kwa Wamarekani na raia wengine ambao wajawahi kufika Tanzania kwenye maonesho ya picha zake yaliyofanyika leo Silver Spring, Maryland kwenye ukumbi wa WPG uliopo 8230 Georgia Ave. Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani (wa… ...

 

11 years ago

GPL

VIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE‏

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri  Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa… ...

 

10 years ago

GPL

MMILIKI WA KAMPUNI YA URBAN AND RULAR ENGINEERING PAMOJA NA WAJUMBE WAKE WAMTEMBELEA BALOZI LIBERATA MULAMULA‏

 Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni  ndugu Paula Mwafongo (Afisa Ubalozi uchumi),Bwa. Joseph Mnzanilla ,Mh.Bbalozi Mulamula,Bwa. Awadh Zuberi,Shemuni Halahala pamoja na ndugu Majid Zuberi wakiwa katika picha ya pamoja.

Mkurugenzi wa Urban and Rular  Engineering wa kwanza...

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE‏

 Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo.  Juu na chini ni Balozi…

 

10 years ago

GPL

DICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA‏

 Viongozi wa DICOTA Lunda Asmani (kushoto)na Dr. Kurwa Nyigu wakitia saini kitabu cha wageni mara tu walipofika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC kuonana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamuala (hayupo pichani) na kumkabidhi ripoti ya mkutano wa kongamano wa DICOTA uliofanyika mapema mwezi wa Oktoba kwenye tarehe 2 mpaka 5 2014.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani