BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO
 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner itakayofanyika kesho Jumamosi April 19, 2014 na muziki kupigwa na Dj Luke kutoka DC ambaye tayari ameishatia timu na kusema pamoja na fundraising amekuja kuwapa mashabiki wake wa Ohio zawadi wa Pasaka. Fundraising itafanyikia Comfort...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE
11 years ago
MichuziVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE
11 years ago
MichuziBALOZI LIBERATA MULAMULA AWASILI COLUMBUS, OHIO, KUHUDHURIA HAFLA YA KUCHANGISHA PESA
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakimpokea Mhe. Balozi Liberata Mulamula (wapili toka kulia) wengine katika picha toka kushoto ni Mjumbe Eliud Mashambo, Mume wa Balozi Bwn. George Mulamula, Deo Mwalujwa, Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele na Joe Ngwilizi ambaye ni Mjumbe. Mhe. Balozi Liberata Mulamula akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Luluwa Rashid mara tu baada ya kuwasili Hotel ya Hilton alikofikia. Picha ya pamoja kutoka...
11 years ago
MichuziFUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA WATANZANIA UGHAIBUNI WAJIUNGE NA BIMA YA WESTAD
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri. Kwa habari kamili na picha kibao
BOFYA HAPA
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Fundraising Dinner Columbus yafana Balozi Liberata Mulamula asisitiza Watanzania Ughaibuni wajiunge na Bima ya Westadi
Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri.
Mjumbe Michael Mnngodo akiutambulisha uongozi wa Jumuiya kwa Mhe. Balozi Libarata Mulamula na mumewe.
Mjumbe Chiseko Hamisi akielezea mfuko na kazi za mfuko huo na...
10 years ago
VijimamboMA WINNY CASEY AWATAMBULISHA LADY KATE, MUMEWE NA MISS AFRICA USA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA
10 years ago
GPLKAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA ONYESHO LA PICHA ZA KUCHORA LA JAMBO, TANZANIA