MMILIKI WA KAMPUNI YA URBAN AND RULAR ENGINEERING PAMOJA NA WAJUMBE WAKE WAMTEMBELEA BALOZI LIBERATA MULAMULA
 Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni  ndugu Paula Mwafongo (Afisa Ubalozi uchumi),Bwa. Joseph Mnzanilla ,Mh.Bbalozi Mulamula,Bwa. Awadh Zuberi,Shemuni Halahala pamoja na ndugu Majid Zuberi wakiwa katika picha ya pamoja. Mkurugenzi wa Urban and Rular  Engineering wa kwanza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMMILIKI WA KAMPUNI YA URBAN AND RULAR ENGINEERING PAMOJA NA WAJUMBE WAKE WAMTEMBELEA BALOZI LIBERATA MULAMULA
Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni ndugu Paula Mwafongo (Afisa Ubalozi uchumi),Bwa. Joseph Mnzanilla ,Mh.Bbalozi Mulamula,Bwa. Awadh Zuberi,Shemuni Halahala pamoja na ndugu Majid Zuberi wakiwa katika picha ya pamoja.Mkurugenzi wa Urban and Rular Engineering wa kwanza kulia ndugu Awadh Zuberi na msaidizi wake Shemuni Halahala wakiwasili Tanzania house ...
10 years ago
GPLKAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa...
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV Wheaton, Maryland nchini Marekani hapa Mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea makamu wa Urais Bi. Salma Moshi na Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Watanzania anyaemaliza muda wake na ambaye pia anagombea tena nafasi hiyo. Mhe. Libarata Mulamula akisalimiana na kampeni… ...
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO
 Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner itakayofanyika kesho Jumamosi April 19, 2014 na muziki kupigwa na Dj Luke kutoka DC ambaye tayari ameishatia timu na kusema pamoja na fundraising amekuja kuwapa mashabiki wake wa Ohio zawadi wa Pasaka. Fundraising itafanyikia Comfort...
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA AHUDHURIA ONYESHO LA PICHA ZA KUCHORA LA JAMBO, TANZANIA
Mariam Osher Mmarekani mchoraji aliyetembelea mbuga za wanyama Tanzania na kubuni uchoraji wa wanyama aliowaona huko Tanzania na kutumia michoro hiyo kuitangaza Tanzania kwa Wamarekani na raia wengine ambao wajawahi kufika Tanzania kwenye maonesho ya picha zake yaliyofanyika leo Silver Spring, Maryland kwenye ukumbi wa WPG uliopo 8230 Georgia Ave. Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani (wa… ...
10 years ago
Michuzi11 years ago
GPLVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE
 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri  Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa… ...
11 years ago
GPLBALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI YA TRACTEBEL ENGINEERING S.A. YA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania  Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya  ya Ulaya Dr. Diodorus  Kamala akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi pamoja na wadau kutoka Tanzania katika sekta mbalimbali za usafirishaji wa majini ,anga na reli.Kulia kwa Dr Kamala ni Mkurugenzi wa Tractebel Engineering nchini Ubelgiji bwana Hein Dirix na kushoto kwa Balozi Kamala ni Mh:Nazir Karamagi mkurugenzi mtendaji wa Tanzania International Container...
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE
 Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo.  Juu na chini ni Balozi…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania