Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Vijimambo yakutana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMATI YA VIJIMAMBO YAKUTANA NA BALOZI LIBERATA MULAMULA‏

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Liberata Mulamula awaaga waTanzania nyumbani kwake

Leo, Jumamosi Julai 25, 2015, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula na familia yake waliwaalika waTanzania wote kwa ajili ya nyama choma ya kuagana nao.
Pia, alipata fursa ya kuzungumza machache.
Karibu
Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGWA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI.

Balozi Liberata Mulamula akiwa na mwenyeji wake mkuu wa itifaki Bw Peter Selfidge  Balozi Liberata Mulamula akiwa na balozi wa Uganda Oliver Wonekha pamoja na mume wa balozi Eng. George Mulamula.

 Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maafisa wa ubalozi wakisikiliza hotuba zilizokua zikiendelea.

Mkuu wa Itifaki Bw Peter Selfidge pamoja na Balozi Liberata Mulamula wakipata nasaha fupi  Baadhi ya mabalozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki nao hawakua nyuma kujuika na Balozi Liberata Mulamula kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani