Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ibada ya kumuaga Mhe. Balozi Liberata Mulamula- Washington DC


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ibada ya kumuaga Balozi Liberata Mulamula Washington DC Julai 26, 2015

Picha kwa hisani ya Samuel Malonja
Jumapili ya Julai 26 2015, kanisa linaloabudu kwa kiswahili hapa Washington DC la The Way of the Cross Gospel Ministries lilifanya ibada maalum ya kuagana na aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
Aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiongea na washarika pamoja na wageni waliohudhuria ibada maaluma ya kumuaga

Kwa picha zaidi, bofya soma zaidi



Aliyekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA , KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.

Mhe.Balozi Liberata Mulamula, Katiba mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani awasili jijini Washington DC na kulakiwa na wafanyakazi wa Ubalozi, pichani ni afisa Swahiba Habib Mndeme akikabidhi maua mara tu baada ya Mheshimiwa kuwasili.Mhe, Balozi Liberata Mulamula mwenye furaha baada ya kulakiwa na afisa Swahiba Mndeme.Mhe, Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na afisa Swahiba Habib Mndeme mara baada ya kuwasili...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

Mhe. Katibu Mkuu Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozi. ( TANZANIA HOUSE). Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya  Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha wageni Ubalozini Washington DC.
 Mhe Katibu Mkuu akiwa pamoja na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bi. Swahiba H. Mndeme.

Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania,...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA KUMUAGA MHE. LIBERATA MULAMULA KUTOKA TEMBAPHOTO JITIRIRISHE HAPA

 Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
   Maafisa wa Ubalozi wa kudumu wa Umoja wa mataifa New York wakipata ukodak wa pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Ukiacha maafisa hao pia kulikuwa na Naibu mweka hazina wa New York Tanzania Community Dr Temba na Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC

Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani akifungua mkutano wa Mabalozi wa Heshima uliofanyika siku ya Ijumaa April 24, 2015 Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Mkutano huo ulizungumzia  uwekezaji na Utalii zikiwemo Changamoto zake na jinsi ya kukabiliana nazo. Pia katika mkutano huo uliokua sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano uliudhuria pia na Viongozi wa Taasisi za Diaspora wa Tanzania ambao wanaguswa na kuiona nchi yao ikipiga hatua ya maendeleo katia sekta...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Vijimambo yakutana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani