Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA CALIFORNIA WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Watanzania California wakiongozwa na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa walijumuika pamoja siku ya Ijumaa na kumuaga Balozi Liberata Mulamula anayemaliza muda wake kama Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na kurudi nyumbani kwenda kulitumikia taifa kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Watanzania wa California wakipiga picha ya pamoja na Mhe. Balozi Libarata Mulamula (wapili toka kushoto) siku ya Ijumaa July 31, 2015 walipomuaga rasmi. Balozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA WATANZANIA CALIFORNIA WALIPOMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Meza kuu Picha ya pamoja na Balozi Watanzania wakipata picha ya ukumbusho na BaloziKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Wafanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani wakihakiki majina ya wageni waalikwa kwenye tafrija fupi ya Ubalozi huo ya kumuaga Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulumula (hayupo pichani) ambaye ndiye aliyekua Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani. Tafrija hiyo fupi ilifanyika Alhamisi Julai 23, 2015 kwenye jengo la Ubalozi lililopo mtaa wa 22, Washington, DC. Picha na Kwanza Production na...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI LIBERATA MULAMULA AWAAGA WATANZANIA MAREKANI

Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland. Boya Play usikilize alichoongea alipokua akiwaaga Watanzania wa Marekani.  Picha na Kwanza Production/Vijimambo BlogMkuu wa Utawala mama Lily Munanka akisoma hotuba kwa niaba ua watumishi wa Ubalozi mahususi kwa ajili ya kumuaga Balozi Liberata Mulamula...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Liberata Mulamula awaaga waTanzania nyumbani kwake

Leo, Jumamosi Julai 25, 2015, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula na familia yake waliwaalika waTanzania wote kwa ajili ya nyama choma ya kuagana nao.
Pia, alipata fursa ya kuzungumza machache.
Karibu
Broadcast live streaming video on Ustream

 

11 years ago

Michuzi

FUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA WATANZANIA UGHAIBUNI WAJIUNGE NA BIMA YA WESTAD


Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri. Kwa habari kamili na picha kibao
 BOFYA HAPA

 

11 years ago

Dewji Blog

Fundraising Dinner Columbus yafana Balozi Liberata Mulamula asisitiza Watanzania Ughaibuni wajiunge na Bima ya Westadi

Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi April 19, 2014.

Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiingia ukumbini akiwa ameongozana na mweka hazima Bi. Vera Teri.

Mjumbe Michael Mnngodo akiutambulisha uongozi wa Jumuiya kwa Mhe. Balozi Libarata Mulamula na mumewe.

Mjumbe Chiseko Hamisi akielezea mfuko na kazi za mfuko huo na...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani