Diamond Platnumz atinga ndani ya studio za Genn Online Radio
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakipata nae picha ya pamoja na Rais huyo wa Wasafi alipokuwa akiwasili kwenye mji wa Olathe jimbo la Kansas ilipo Radio hiyo ya GENN kwa mahajiano kabla ya show yake inayotarajiwa kufanyika muda si mrefu katika anuani ya 8625 Troost Ave, Kansas City, Missouri.
Mtangazaji wa GENN Radio AJ (mwenye kofia nyeusi wapili toka kulia) akimfanyia mahojiano Diamond Platnumz ndani ya Studio ya Radio hiyo ambayo inapatikana mtandaoni www.gennmedia.com wengine ni Dj Romy...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ ATINGA NDANI YA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO JIJINI KANSAS,MAREKANI
11 years ago
Michuzi07 Jul
DIAMOND PLATNUMZ ATINGA STUDIO ZA GENN ONLINE RADIO, JIJINI KANSAS, MAREKANI
10 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-23zja8GOkxU/VVJ8n7lqcrI/AAAAAAAHW88/gaLMMN4-dBA/s72-c/11255206_824988637582252_128733885700260836_o.jpg)
ankal atembelea studio za tone online radio station
![](http://3.bp.blogspot.com/-23zja8GOkxU/VVJ8n7lqcrI/AAAAAAAHW88/gaLMMN4-dBA/s640/11255206_824988637582252_128733885700260836_o.jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA ATINGA NDANI YA STUDIO YA KILIMANJARO
10 years ago
GPLHISIA WA TUSKER PROJECT FAME 6 NDANI YA STUDIO ZA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Vijimambo30 Oct
10 years ago
GPL21 Dec