Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY

 All Star Club Elizabeth New Jersey Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika.   AJ nae akifanya yake baada ya kupewa nafasi ya ufunguzi katika show hiyo iliyofanyika New Jersey. AJ Ubao na Dirty Hary wakishambulia jukwaa kwenye show ya kufubgua pazia iliyoanyika New Jersey na baadae Prezidaa wa Wasafi, Diamond Plutnumz kuwapagawisha mashabiki wake wa ukanda wa pwani...

 

11 years ago

GPL

J-LO AGONGA SHOO YA NGUVU UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Jennifer Lopez akionyesha manjonjo yake wakati wa ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Jennifer Lopez, Pitbull na staa wa Pop nchini Brazil Claudia Leitte wakifanya yao stejini.…

 

11 years ago

Michuzi

DIAMOND PLATNUMZ AFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KANSAS CITY, MISSOURI NCHINI MAREKANI

Diamond Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani  onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.Diamond Platnumz akiendelea na makamuzi ndani huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa Kansas City na wenggine wakiwa wamesafiri kutoka majimbo ya jirani.Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza pamoja nae wakati prezda wa wasafi akiendelea...

 

10 years ago

GPL

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor.…

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond aweka historia tena Dar Live

IMG_7348Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo

IMG_7989Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.

IMG_7359

Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.

IMG_1416Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.

IMG_7371Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.

IMG_7324Diamond akiwachombeza mashabiki.

IMG_7325Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.

IMG_7344Akiongea na mashabiki.

IMG_7377

IMG_7379 IMG_7383Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.IMG_7390Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki...

 

10 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAFANYA SHOO YA NGUVU CLUB YA MAISHA JIJINI DAR‏


Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.
 Mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club… ...

 

11 years ago

Michuzi

Diamond na Wema kuhamia Mtwara, kufanya shoo ya nguvu Mei 2, 2014 MAKONDE CLUB

Wakazi wa kusini mwa Tanzania yaani mkoa wa Mtwara wametakiwa kukaa mkao wa kula burudani ya nguvu ya muziki itapigwa moja kwa moja jukwaani siku ya tarehe 2 ya mwezi wa Mei katika ukumbi wa Makonde Club.
Shoo hiyo ya kipekee na ya aina yake italetwa na si mwingine bali ni mkali wa muziki wa bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika ya Mashariki kwa sasa kupitia vibao vyake vitamu kama vile cha My Number One remix alichomshirikisha msanii Davido kutoka nchini Nigeria, Raisi wa wasafi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani