Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGOMA AFRICA BAND KUKINUKISHA AUSTRIA JULAI 5, 2015

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band 'FFU' yenye makao nchini Ujerumani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MZIMU WA NGOMA AFRICA BAND KUIBUKIA MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA, Jumapili 5 Julai 2015-Austria

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao nchini Ujerumani,inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival siku ya jumapili 5 Julai 2015 alhasiri katika viwanja vya Schlosspark,Mamling 3, Mining nchini Austria. Watayarishaji wa onyesho hilo wameitaja bendi hiyo ya Ngoma Africa band kuwa muziki wake ni sawa na mzimu unawapeleka puta washabiki katika maonyesho ya kimataifa na washabiki nchini Austria...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN ,JUMAMOSI 25 JULAI 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutingisha jukwaa lamaonyesho makubwa ya muziki na utamaduni barani ulaya 6th International African Festival in Tübingen, Ujerumani,bendi hiyo maarufu inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja  itapanda jukwaani siku ya Jumamosi 27 Julai 2015 majira saa 2.00 Usiku katikauwanja wa Festplatz,Europa str,mjini Tübingen ,uliopo Ujerumani ya Kusini. Kikosi kazi hiko cha Ngoma...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL- AUSTRIA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao nchini Ujerumani,inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival siku ya jumapili alhasiri katika viwanja vya Schlosspark,Mamling 3, Mining nchini Austria. watayarishaji wa onyesho hilo wameitaja bendi hiyo ya Ngoma Africa band kuwa muziki wake ni sawa na mzimu unawapeleka puta washabiki katika maonyesho ya kimataifa na washabiki nchini Austria wanameisubiria...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL,AUSTRIA

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani, siku ya Jumapili 5 Julai 2015 ilitingisha jukwaa la Mamling Festival,liliofanyika kule Mining,Austria.Kikosi kazi hicho  cha Ngoma Africa band kilipangiwa kupanda jukwaani saa 10 na dakika 30 alasiri,lakini maporomota walisogeza muda hadi saa 12 jioni ndio bendi hiyo ilipopanda jukwaani,Muda ulisogezwa kutoka na hali ya jua na joto kali lililofikia nyuzi joto 38c,ambazo sio za kawaida kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND LIVE ! in STUTTGART ,GERMANY14 March 2015 Africa Unite Party

Bendi ya maarufu Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka Anunaki aliens bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.Onyesho hilo limeandaliwana shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kilakona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI

The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na  shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...

 

10 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The  Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika ! 
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...

 

10 years ago

Michuzi

SALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band a.k.a FFU-Ughaibuni a.k.a "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao yake nchini Ujerumani, inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale mlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote. HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 !  msikose burudani kamili bofya www.ngoma-africa.com.moja ya show za Ngoma Africa band nchini Ujerumani.

 

10 years ago

Vijimambo

HERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni aka "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote palemlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 ! msikose burudani kamili bofya www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani