NGOMA AFRICA BAND LIVE ! in STUTTGART ,GERMANY14 March 2015 Africa Unite Party
![](http://2.bp.blogspot.com/-aTynYRvfoVY/VPz5t0ywGBI/AAAAAAADbrY/8fya8foS0-k/s72-c/ngoma-africa_wordpress-33%2BTubingen%2BFestival%2B2014.jpg)
Bendi ya maarufu Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka Anunaki aliens bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.Onyesho hilo limeandaliwana shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kilakona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE Katika Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015 MJINI STUTTGART, UJERUMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-D2cu_3Uv5A4/VQN3cjSoyWI/AAAAAAAHKLg/NRljhGkWhjA/s1600/Ngoma%2BAfrica%2Bband.jpg)
Bendi hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho hilo limeandaliwa na shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe washabiki wake kila kona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo wao maarafu kama " Extraordinary Bongo...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-LhxWvyA-kQI/VPYnyf3ff3I/AAAAAAADbZI/-RYBPi5KNqo/s72-c/ngoma-africa_wordpress-33%2BTubingen%2BFestival%2B2014.jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE MJINI STUTTGART ,GERMANY
![](http://2.bp.blogspot.com/-LhxWvyA-kQI/VPYnyf3ff3I/AAAAAAADbZI/-RYBPi5KNqo/s1600/ngoma-africa_wordpress-33%2BTubingen%2BFestival%2B2014.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YZQ6_bAe0-Y/VPYnxwAZ_sI/AAAAAAADbZE/O7DoGWgwcHA/s1600/Africa%2Bunite%2Bparty.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-L7JbPx0-z5U/VParrPp8txI/AAAAAAAHHbw/oG8Ag6m3JGc/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE MJINI STUTTGART,GERMANY
![](http://3.bp.blogspot.com/-L7JbPx0-z5U/VParrPp8txI/AAAAAAAHHbw/oG8Ag6m3JGc/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EJwNVHJjSIc/VQfUVFgPOHI/AAAAAAAHK5k/xKCMfQSmJc0/s72-c/FFU-ughaibuni%2Bwakifanya%2Bvitu%2Bvyao%2BStuttgart%2CUjerumani.jpg)
Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni walipoliweka jiji la Stuttgart chini yao
Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake
![](http://2.bp.blogspot.com/-EJwNVHJjSIc/VQfUVFgPOHI/AAAAAAAHK5k/xKCMfQSmJc0/s1600/FFU-ughaibuni%2Bwakifanya%2Bvitu%2Bvyao%2BStuttgart%2CUjerumani.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhwoiKaCakAm-vHV38cC1rdR*Z4vdh6nNKhZbzSVGd0Aa1TnzQaH2lT15jv8cXlaHhtxx2guhWQ*NaKtYQdFMTnQ/ngomaafrica_wordpress34TubingenFestival2014.jpg?width=650)
NGOMA AFRICA BAND KUKINUKISHA AUSTRIA JULAI 5, 2015
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_HyW9NmhAmw/VKDzinLZK2I/AAAAAAAG6Sk/46Cn_4rfDck/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
SALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-_HyW9NmhAmw/VKDzinLZK2I/AAAAAAAG6Sk/46Cn_4rfDck/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-it9fy1_rSsE/VKDzmSeLLcI/AAAAAAAG6Ss/4QIWbzFxRRY/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jIwjcMg8WKA/VKEWCN4Ra_I/AAAAAAADTFw/0z5g61PTm0E/s72-c/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
HERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
![](http://3.bp.blogspot.com/-jIwjcMg8WKA/VKEWCN4Ra_I/AAAAAAADTFw/0z5g61PTm0E/s1600/Ngoma%2BAfrica%2BBand%2BOn%2BAction%2Bin%2BGermany.jpg)
9 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MARBELLA - SPAIN JUMAMOSI 12 SEPT 2015
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND YAFUNIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TÃœBINGEN 2015
Bendi hiyo ilipanda...