NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL,AUSTRIA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani, siku ya Jumapili 5 Julai 2015 ilitingisha jukwaa la Mamling Festival,liliofanyika kule Mining,Austria.Kikosi kazi hicho cha Ngoma Africa band kilipangiwa kupanda jukwaani saa 10 na dakika 30 alasiri,lakini maporomota walisogeza muda hadi saa 12 jioni ndio bendi hiyo ilipopanda jukwaani,Muda ulisogezwa kutoka na hali ya jua na joto kali lililofikia nyuzi joto 38c,ambazo sio za kawaida kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MZIMU WA NGOMA AFRICA BAND KUIBUKIA MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA, Jumapili 5 Julai 2015-Austria
10 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL- AUSTRIA

10 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI


10 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI


10 years ago
GPL
NGOMA AFRICA BAND KUKINUKISHA AUSTRIA JULAI 5, 2015
10 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL, UJERUMANI, LEO

10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND YAFUNIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TÜBINGEN 2015
Bendi hiyo ilipanda...
10 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL-UJERUMANI JUMAMOSI 5 SEPT 2015

KWA P[ICHA ZAIDI BOFYA HAPA.