Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA SHINA JIPYA LA CCM NDANI YA JIJI LA VIONGOZI WICHITA, KANSAS

Mratibu wa Matawi ya CCM Marekani Loveness Mamuya aliwaomba wanaCCM Wichita wawe mfano bora Kwa kujitokeza kwenye jumuiya ya TaWichita kwani Jumuiya ni kwanza na kuwaomba waweze kupendana na kushirikiana kwanza kama watanzania. Tumefungua matawi tukiwa na niya ya kukutanisha watanzania ili waweze kuchangia maendeleo ya Nchi yetu. Chama Cha Mapinduzi kinatambuwa jamii ya watanzania na ushirikano wao. Pia aliwaomba watu wajiunge na jumuiya kwanza na kushirikiana kwa karibu na vilevile kukemea...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MRATIBU WA MATAWI YA CCM MAREKANI LOVENESS MAMUYA AZINDUA SHINA JIPYA JIJI LA WASOMI TULSA, OKLAHOMA


Mratibu wa Matawi ya CCM Ndugu. Loveness Mamuya akisema machache wakati wa Uzinduzi wa Shina Jipya, Tulsa OklahomaViongozi Wandamizi wa Shina la Jipya Kushoto Ndugu Emmanuel J Kamara na Katibu wake Ndugu Edgar ChiwangaMdau Akifurahia Kupata Kadi yakeMjumbe Bryceson Motto akimwaga Sera kwa WanaCCM waliyojumuikaKikao Kikiendelea








 

10 years ago

Vijimambo

UFUNGUZI WA SHINA JIPYA LA CCM MINNESOTA NI SHIDAEEER!

 Mwenyekiti wa Shina la Minnesota Ndugu Christabella Shalita    Katibu wa Shina Ndugu Celina TeshaKada Mpya wa CCM Minnesota Ndugu Moshi BaghdellahMwanachama Mpya na Mjumbe Ndugu Andrew SmasherNdugu Abdul Baghdellah na Mwakilishi Kutoka CCM Oklahoma M/Kitti wa Shina Emmanuel Kamala wakibadilishana MikakatiMwakilishi kutoka CCM Newyork Seif Akida na Katibu wa Shina Ndugu Celina Tesha














 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd awapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni,Bumbini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewapongeza Viongozi na Wanachama wa CCM wa Tawi la Mafufuni Jimbo la Bumbwini kwa uamuzi wao wa kujenga Tawi jipya la CCM lenya hadhi ya Chama chenyewe.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikabidhi mchango wa Shilingi Milioni moja kwa ajili ya uwezekaji wa Tawi hilo kufuatia ahadi aliyoitoa ya kusaidia harakati za ujenzi wa Jengo hilo mchango alioukabidhi kwa uongozi wa Tawi hilo hapo Ofisini...

 

11 years ago

Michuzi

uchaguzi wa viongozi wa tawi jipya la CCM chuo cha kimataifa cha Diplomasia Dar es salaam

   Baadhi ya wanachama wa Chama Cha mapinduzi (CCM) tawi la  chuo cha kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa tawi hilo jana jumamosi 24/5/2014.Kutoka kushoto ni Mohamed Mkumbwa,George Fautine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Faiza Salim,Kanali Rankho,Mtela Mwampamba,Ali Makwiro na Kennedy Ndosi.Uchaguzi huo ulisimamiwa na Mtela Mwampamba,Kanali Rankho,Dotto Nyirenda,katibu wa CCM mkoa wa vyuo vikuu Bw.Zenda Daniel na katibu wa CCM itikadi na uenezi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani